Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dr Shein Kuchukuwa Form ya kugombea urais hapo kesho

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dr Ali Mohammed Shein kesho anatarajiwa kuchukuwa rasmi form ya kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu. Dr Shein amepangiwa saa […]

The post Dr Shein Kuchukuwa Form ya kugombea urais hapo kesho appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ACHUKUA FORM YA KUGOMBEA URAIS


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais John Magufuli, leo amechukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama chake kushiriki katika kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Rais Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally kwenye Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dodoma.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa fomu hiyo, Rais Magufuli amesema anaanza mapema mchakato wa kutafuta wadhamini  ili awahi kurejesha fomu hiyo mapema.
Mwenyekiti huyo wa CCM amesema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Shein kukabidhi Tuzo kwa Wanamichezo Bora Tanzania ndani ukumbi wa Diamond Jubilee hapo kesho

5bf0Ali-Mohamed-Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.

MAANDALIZI kwa ajili ya Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) yamekamilika.

Tuzo hizo zitatolewa kesho Ijumaa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, kuanzia saa 12 jioni, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.

Wanamichezo mbalimbali wanatarajiwa kupewa tuzo hizo kutokana...

 

10 years ago

Mwananchi

Shein aidhinishwa kugombea urais Zanzibar

>Halmashauri Kuu ya CCM inayokutana mjini Dodoma leo imemuidhinisha rasmi Dr Ali Mohamed Shein

 

9 years ago

Michuzi

DK.SHEIN ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema  Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama  kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo.

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti...

 

9 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi fedha tasilim Shilingi za Kitanzania Millioni mbili Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha wakati  aliporejesha fomu  za kugombea Urais  wa Zanzibar   katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar...

 

10 years ago

Vijimambo

DR SHEIN KUGOMBEA KWA MARA NYINGINE URAIS VISIWANI

Zanzibar. Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar imepitisha azimio la pamoja la kumtaka Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais uchaguzi unaotarajia kufanyika mwaka huu,imefahamika Visiwani humo.

Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi katika Kongamano lililofanyika Ukumbi wa Shule ya...

 

10 years ago

GPL

NAPE AMTANGAZA SHEIN KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR 2015

Katibu wa Uenezi, Nape Nnauye amemtangaza rasmi Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM 2015, Mhe. Ali Mohamed Shein.

 

10 years ago

Michuzi

DK.Shein Arejesha Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar leo mjini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akirejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu maalum wakati wa kurejesha Fomu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani