Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DR SLAA ATIMKIA MAREKANI

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa mapumziko.

Hata hivyo, taarifa zinasema Dk. Slaa amekwishandoka nchini kuelekea Marekani pamoja na familia yake tangu jana jioni.

Huku akiwa Marekani kupumzika na kujiendelea katika kozi fupi katika tasnia ya Sheria na Lugha, Dk. Slaa amesema nyumba yake itakuwa chini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Dk Slaa atimkia Marekani, nyumba italindwa na polisi

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa mapumziko.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk Slaa atimkia Marekani yeye na Familia yake, nyumba italindwa na polisi

Mazungumzo yake na Azam Tv Yaliyorushwa Leo Asubuhi akihojiwas na Tido Mhando Tuesday, September 8, 2015 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake […]

The post Dk Slaa atimkia Marekani yeye na Familia yake, nyumba italindwa na polisi appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI NCHINI MAREKANI

Dr. Slaa akiwa na Gavana wa Alabama 2013Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini siku ya (Jumamosi Aprili 11, 2015) kuelekea nchini Marekani ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tisa. Dk. Slaa katika safari hiyo ameambatana na mkewe Josephine Mushumbusi.
Ziara hii ya siku tisa ni mwaliko wa Gavana wa Jimbo la Indiana Mike Pence pamoja na taasisi mbalimbali za nchini humo ikiwemo vyuo vikuu kutokana na kutambua mchango wa kisiasa na...

 

9 years ago

Michuzi

CHADEMA tawi la MAREKANI yakanusha Taarifa kuhusu kuwapokea Dr Wilbroad Slaa na Mheshimiwa Freeman Mbowe hapa

Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Washington DC, Kalley Pandukizi  (kulia) akiwa na Katibu wa chama hicho, Ndugu Libe Mwang'ombe (katikati) alipotoa kadi rasmi kwa Beautician maarufu na designer Mtanzania, Linda Bezuidenhout (kushoto). Picha ya Maktaba.Napenda kuchukua nafasi hii kukanusha taarifa ya uongo na uzushi iliyoenezwa kupitia mitandao ya kijamii leo tarehe 18 Septemba 2015 iliyoanzia kwenye JamiiForums yenye kichwa cha habari “Mbowe asalimu amri kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA


Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...

 

11 years ago

GPL

ALIYEPIGWA NA CHID ATIMKIA SAUZI

Stori: Haruni Sanchawa MSICHANA aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini kuishi kwa muda. Mkali wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Paparazi wetu alitia timu nyumbani kwa binti huyo Ilala-Bungoni, jijini Dar ili kujua maendeleo yake ambapo mdogo wa Asha ambaye hakutaka jina lake lichorwe...

 

5 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI ATIMKIA CCM NA WENZAKE

  Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Bwana Shabani Limu pamoja na viongozi wengine wawili wa wa chama hicho wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Bwana Limu ambaye ameshika nafasi mbali mbali katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kipindi cha takribani miaka 28 sasa ameamua kukihama chama hicho baada ya kuridhishwa na utendaji wa Rais Dkt.John Pombe Magufuli na kuondoka na viongozi wengine wa chama...

 

11 years ago

Habarileo

Mwenyekiti Chadema atimkia CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mbinga, Desderius Haule amekihama chama hicho na kujiunga na CCM.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani