Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Slaa atimkia Marekani, nyumba italindwa na polisi

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa mapumziko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk Slaa atimkia Marekani yeye na Familia yake, nyumba italindwa na polisi

Mazungumzo yake na Azam Tv Yaliyorushwa Leo Asubuhi akihojiwas na Tido Mhando Tuesday, September 8, 2015 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake […]

The post Dk Slaa atimkia Marekani yeye na Familia yake, nyumba italindwa na polisi appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

DR SLAA ATIMKIA MAREKANI

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa mapumziko.

Hata hivyo, taarifa zinasema Dk. Slaa amekwishandoka nchini kuelekea Marekani pamoja na familia yake tangu jana jioni.

Huku akiwa Marekani kupumzika na kujiendelea katika kozi fupi katika tasnia ya Sheria na Lugha, Dk. Slaa amesema nyumba yake itakuwa chini...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI NCHINI MAREKANI

Dr. Slaa akiwa na Gavana wa Alabama 2013Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini siku ya (Jumamosi Aprili 11, 2015) kuelekea nchini Marekani ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tisa. Dk. Slaa katika safari hiyo ameambatana na mkewe Josephine Mushumbusi.
Ziara hii ya siku tisa ni mwaliko wa Gavana wa Jimbo la Indiana Mike Pence pamoja na taasisi mbalimbali za nchini humo ikiwemo vyuo vikuu kutokana na kutambua mchango wa kisiasa na...

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa, polisi wapambana Dar

slaaNa Faraja asinde, Dar es salaam,

HALI ya tafrani ilizuka jijini Dar es Salaam jana, baina ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na askari wa Jeshi la Polisi.
Hali hiyo ilijitokeza, baada ya askari polisi kumhoji kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini, hatua yake ya kufanya mkutano bila kibali.
Tafrani hiyo ambayo iliibuka katika eneo la Tegeta Gereji ilianza saa 11:50 jioni baada ya Dk. Slaa kuwasili katika eneo hilo na kuanza kuhutubia...

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi wamhoji mke wa Dk. Slaa

Mke wa Dk.SlaaNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKE wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Josephine Mushumbusi amehojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kuhusu tuhuma za mauaji zinazomkabili mume wake Dk. Wilibrod Slaa.
Katika mahojiano hayo, Mushumbusi alitoa maelezo pamoja na kuelezea tukio la Dk. la kutaka kuwekewa sumu na mlinzi wake Khalid Kagezi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Dk Slaa alisema kuwa, mkewe ametoa maelezo hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wamshauri Dk Slaa asifike Kigoma

Polisi mkoani Kigoma, imemshauri, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa kusitisha ziara zake mkoani Kigoma kwa sababu za kiusalama.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi waelezwa Slaa alivyotaka kuuawa

Mchumba wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi jana ametoa maelezo yake katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa kwa katibu huyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi waanza kuchunguza madai ya Dk Slaa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeanza kuchunguza malalamiko ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa ya kutaka kulishwa sumu na Mlinzi wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani