Polisi wamshauri Dk Slaa asifike Kigoma
Polisi mkoani Kigoma, imemshauri, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa kusitisha ziara zake mkoani Kigoma kwa sababu za kiusalama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Polisi Kigoma waua majambazi watano Kigoma
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Wamshauri JK kusitisha posho za wajumbe
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Dk. Slaa, polisi wapambana Dar
Na Faraja asinde, Dar es salaam,
HALI ya tafrani ilizuka jijini Dar es Salaam jana, baina ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na askari wa Jeshi la Polisi.
Hali hiyo ilijitokeza, baada ya askari polisi kumhoji kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini, hatua yake ya kufanya mkutano bila kibali.
Tafrani hiyo ambayo iliibuka katika eneo la Tegeta Gereji ilianza saa 11:50 jioni baada ya Dk. Slaa kuwasili katika eneo hilo na kuanza kuhutubia...
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Polisi wamhoji mke wa Dk. Slaa
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKE wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Josephine Mushumbusi amehojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kuhusu tuhuma za mauaji zinazomkabili mume wake Dk. Wilibrod Slaa.
Katika mahojiano hayo, Mushumbusi alitoa maelezo pamoja na kuelezea tukio la Dk. la kutaka kuwekewa sumu na mlinzi wake Khalid Kagezi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Dk Slaa alisema kuwa, mkewe ametoa maelezo hayo...
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Polisi wafutwa kazi Kigoma
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Mlinzi wa Dk. Slaa aendelea kuhojiwa Polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, linaendelea kumuhoji Khalid Kagenzi ambaye ni mlinzi binafsi (PSU) wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa anayetuhumiwa kwa kosa la kutaka kumuua.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura, alisema wanaendelea na uchunguzi juu ya tuhuma hizo.
Alisema pamoja na uchunguzi huo kuendelea, lakini Kamanda wa Polisi Kanda...
10 years ago
Habarileo31 Mar
Polisi waelezwa Slaa alivyotaka kuuawa
MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi jana ametoa maelezo yake katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa kwa katibu huyo.
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Polisi waanza kuchunguza madai ya Dk Slaa
10 years ago
Mtanzania11 Mar
Mlinzi wa Dk. Slaa aendelea kusota polisi
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KHALID Kangezi, mlinzi binafsi (PSU) wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa, anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kuhusu tuhuma dhidi yake.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Kinondoni, Camillus Wambura alisema uchunguzi unaendelea dhidi ya Kagenzi ambaye alifikishwa katika Kituo cha Polisi Osterbay juzi.
“Suala hili nilitakiwa kulitolea taarifa kwa Kamanda wa Polisi...