Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi waanza kuchunguza madai ya Dk Slaa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeanza kuchunguza malalamiko ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa ya kutaka kulishwa sumu na Mlinzi wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ujerumani kuchunguza madai ya udukuzi

Ujerumani inachunguza madai yaliyotolewa na mtoro mmarekani, Edward Snowden kuwa Marekani ilifanyia udukuzi simu ya Chansela wa Ujerumani Angela Merkel.

 

11 years ago

Mwananchi

CWT waanza kuitikisa Serikali madai ya Sh61 bil

Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimetangaza mgogoro na Serikali kwa kile walichodai kutofanyiwa kazi madai yao mbalimbali yakiwamo malimbikizo ya mishahara na likizo ya walimu zaidi ya Sh61 bilioni.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tundu Lissu amshukia Dk.Slaa kwa madai ya kuponzwa na mkewe

DSC01778

Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu,akizungumza kwenye mkutano wa kampeni ya Ukawa mkoa wa Singida uliofanyika kwenye uwanja wa Peoples mjini hapa.Pamoja na mambo mengine,Tundu amewaomba wakazi wa Singida, kumpa kura ya ndiyo mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Ngoyai Lowassa, wabunge na madiwani wa Ukawa,ili kuigaragaza CCM kwa madai imechoka na umechuja mbele ya macho ya Watanzania.

DSC01807

DSC01826

Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia ukawa,...

 

10 years ago

Vijimambo

MATOKEO YALIYOMPA USHINDI MBUNGE PROF MSOLA KATA TATU YATUPWA ,UCHAGUZI KURUDIA KESHO TAKUKURU WAANZA KUCHUNGUZA MCHAKATO MZIMA KILOLO

Na MatukiodaimaBlog
CHAMA Cha mapinduzi ( CCM) mkoa  wa Iringa  kimefuta matokeo ya kata tatu za jimbo la Kilolo matokeo yaliyokuwa yakimpa ushindi mkubwa mbunge anaemaliza muda wake Prof Peter Msola na kuagiza uchaguzi   huo  kurudiwa kesho
Matokeo hayo ambayo yamekataliwa na wagombea wote yanadaiwa kupachikwa katika  vituo vya kata hizo tatu japo hata hivyo hayana uhalisia ukilinganisha na idadi ya wanachama wa maeneo husika .
Katibu  wa CCM  mkoa  wa  Iringa Bw  Hassan Mtenga  alisema  kuwa ...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi Moshi kuchunguza vigogo

>Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeanza kuchunguza mawasiliano ya simu ya Watanzania wenye uhusiano na vigogo raia wa kigeni wanaojishughulisha na biashara ya wahamiaji haramu.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MATOKEO YALIYOMPA USHINDI MBUNGE PROF MSOLA KATA TATU YATUPWA ,UCHAGUZI KURUDIA KESHO TAKUKURU WAANZA KUCHUNGUZA MCHAKATO MZIMA KILOLO

Na MatukiodaimaBlog
CHAMA Cha mapinduzi ( CCM) mkoa  wa Iringa  kimefuta matokeo ya kata tatu za jimbo la Kilolo matokeo yaliyokuwa yakimpa ushindi mkubwa mbunge anaemaliza muda wake Prof Peter Msola na kuagiza uchaguzi   huo  kurudiwa kesho
Matokeo hayo ambayo yamekataliwa na wagombea wote yanadaiwa kupachikwa katika  vituo vya kata hizo tatu japo hata hivyo hayana uhalisia ukilinganisha na idadi ya wanachama wa maeneo husika .
Katibu  wa CCM  mkoa  wa  Iringa Bw  Hassan Mtenga ...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wakanusha madai ya askari wao

Philipo Kalangi, Kamanda wa polisi Mkoa wa Mara.POLISI wa wilaya ya Bunda, wamelazimishwa kuchangia fedha kwa ajili ya mafuta ya kusafirisha mwili wa mwenzao aliyefariki dunia katika Hospitali ya rufaa Bugando kwenda nyumbani kwao katika wilaya ya Mahenge mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi Dar yaunda jopo kuchunguza kifo cha bosi Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza alijinyonga kwa tai. Taarifa iliyotolewa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo imesema.

 

10 years ago

GPL

MADAI YA KUBEBA UNGA: RAY C AJISALIMISHA POLISI

Stori Na Musa Mateja/Ijumaa Wikienda
BAADA ya kukiri kwa mdomo wake kutumia madawa ya kulevya ‘unga’ na baadaye ‘kustaafu’, madawa hayohayo yamemletea msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’ ‘msala’ ambao umemfanya yeye mwenyewe, kwa hiyari yake ajisalimishe polisi. Msanii wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa Hospitali ya Mwananyamala . Hivi karibuni, Ray C...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani