CWT waanza kuitikisa Serikali madai ya Sh61 bil
Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimetangaza mgogoro na Serikali kwa kile walichodai kutofanyiwa kazi madai yao mbalimbali yakiwamo malimbikizo ya mishahara na likizo ya walimu zaidi ya Sh61 bilioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Aug
CWT yaitega Serikali madai ya walimu
11 years ago
Habarileo17 Dec
Waziri asema madai ya CWT hayalipiki
SERIKALI haitaongeza vianzio vya mishahara kwa asilimia 53 kama Chama cha Walimu Nchini (CWT) kinavyotaka, kwa kuwa fedha hizo ni zaidi ya asilimia 50 ya mapato ya nchi.
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Polisi waanza kuchunguza madai ya Dk Slaa
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
CWT: Serikali itatue kero za walimu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Morogoro kimeitaka serikali kuepusha migogoro kati yake na walimu. Rai hiyo imetolewa na Katibu wa CWT, Maswi Munada alipomkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa, Jorvis...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Rais CWT aitupia lawama Serikali
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
CWT yaipongeza serikali kusikiliza hoja yao
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeipongeza serikali kwa kukubaliana na hoja yao ya kuwa na mwajiri mmoja. Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Rais wa chama hicho, Gratian Mukoba, alisema...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
CWT yaiomba Serikali kuwalipa madeni yao
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
CWT yasisitiza msimamo wao ni serikali tatu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimesisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni muundo wa serikali tatu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa CWT, Gratian...
10 years ago
Habarileo05 Apr
CWT yaitaka serikali ilipe madeni ya walimu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi ya kulipa madeni ya fedha za walimu ambayo yamewasilishwa serikalini ili kuepusha kutokea msuguano katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu.