DUDE: KUZAAZAA NIMERITHI KWA BABA

Na Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa tabia ya kuzaa watoto wengi na kwa wanawake tofauti amerithi kwa baba yake kwani alikuwa na watoto kumi na tatu. Staa wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akipiga stori na gazeti hili, Dude alisema kwa sasa ana watoto saba kwa wanawake wanne tofauti na bado ataendelea kuongeza watoto wengine kwani haoni shida kwa sababu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
DUDE ANASWA NYUMBANI KWA ESTER
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Dude kutoa elimu zaidi kwa wanafunzi
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, amesema yeye kama kioo cha jamii hana budi kutumia muda wake kuelimisha wanafunzi ili waweze kufanya vizuri katika masomo yao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dude alisema amekuwa akiwahamasisha wanafunzi, kupitia zawadi kama madaftari, vitabu, viatu hata sare za shule.
“Kama unavyojua mtoto unapompatia zawadi na kumuahidi mambo mazuri, lazima atajitahidi, nitaendelea kutembelea shule mbalimbali kuhamasisha...
11 years ago
GPL
GARI LA DUDE LAKAMATWA DAR KWA UJAMBAZI
10 years ago
Bongo Movies09 Jan
Dude: Filamu Kwa Buku, ‘No’, Nasema Nooo!
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa nchini, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameiomba serikali iwasaidie kutokana na mpango uliowekwa wa kuuzwa filamu zao kwa shilingi elfu moja, jambo ambalo anaona litawafanya wasanii wazidi kuwa masikini.
Akizungumzia swala hilo, Dude alionesha kutokukubaliana na hatua hiyo na kueleza kuwa, endapo serikali italifumbia macho suala hilo, soko la filamu litakufa.
“Yaani nasema noooo, kiukweli filamu kuuzwa bei ya shilingi elfu moja wasanii tutakuwa hatuioni faida, ni bora...
10 years ago
GPL
KWA HILI LA MTOTO, DUDE UNACHAFUKA HIVIHIVI UNAJIONA!
10 years ago
GPL
DUDE: FILAMU KWA BUKU, ‘NO’, NASEMA NOOO!
10 years ago
Bongo Movies21 May
Dude, Mtitu Nitakufa kwa Mipango ya Mungu-Steve Nyerere
Naomba kumshukulu mungu kwa kila jambo yehova wewe ndio kimbilio langu. Pili kwa masikitiko makubwa nasema watashindana ila awata shinda .niongee kidogo kwa kifupi mara kwa mara nimekuwa nazalilishwa na najiuliza tatizo nini nagundua nyota .
Maishani kila binadamu mungu kampa fulsa yake so ukubali ukatae ndio hivo. Nilipigiwa simu na Mrs Adam kuambiana yani mke wa marehemu kama rafiki ndugu na msanii mwenzake kuwa anajenga kaburi la marehemu Kuambiana.
Nikajiuliza, kwa nini ajenge yeye...
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Dude akubaliana na bei ya Tshs. 1500 kwa filamu. Asema ndio njia pekee ya kupambana na uharamia.
Masanii wa filamu nchini Dude, amefunguka kwa kusema kuwa kwa kuwa serikali imeshindwa kupambana na wezi wa kazi za wasanii ni bora bei ya Steps Tsh 1500 iyendelee ili kuiyokoa tasinia hiyo.
Dude ameiambia tovuti ya Bongo5 kuwa hakuna njia kwa sasa ya kuweza kupambana na maharamia wa kazi za wasanii zaidi kushusha bei ya filamu.
“Tumeshindwa kuwathibiti pirates, watu wanasambaza kazi, wanauza kazi kwa bei rahisi, leo hii ukienda Buguruni unapata kazi kwa elfu mbili, elfu moja mia tano,...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-8
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
Ina maana akiamua kusema basi, halafu akaendelea na baba Pili atakuwa ameanza tabia ya kurukaruka…
“Kwani wewe kwa jina la mtoto wako yeyote yule unaitwa baba nani?” mama Pilima alimuuliza mwanaume huyo huku akimwangalia kwa macho yaliyojaa mahaba mazito…
“Naitwa baba P.”TAMBAA NAYO…
“He! Baba P! P ni kifupi au ndiyo jina lote?”
“Kifupi.”
“Kirefu chake?”
“Pilima. Kwa hiyo mimi unaweza kuniita baba Pilima.”
Mama Pilima alicheka sana, akasimama akiendelea kucheka...