Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Duni asifu utendaji wa polisi

MGOMBEA mwenza wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji, ameeleza kuridhishwa na utendaji wa Jeshi la Polisi katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWENDESHA MASHTAKA MKUU WA DARFUR,SUDAN ATEMBELEA MAHAMAKA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU,ASIFU UTENDAJI KAZI WAO

Afisa Habari Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCPHR)Sukhdev Chatbar(kulia)akizungumza na Waendesha Mashtaka kutoka Darfur nchini Sudan waliotembelea Mahakama hiyo kujifunza namna inavyotekeleza wajibu wake.Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(kushoto)akimsikiliza Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Jimbo la Darfur,Sudan,Yassir Ahmed Mohammed.Msajili wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu,AfCHPR)Dk Robert Enno(kushoto)akinzungumza...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE


Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mh.Mbatia: Jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake

Serikali imeshauriwa jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake ambao kwa sasa unalalamikiwa kwa sehemu kubwa na wananchi kwa kukiuka haki za binadamu.Akizungumza jana mjini Dodoma katika kuhitimisha hoja kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa wa chama cha CUF, Prof Ibrahim Lipumba na wanachama wake,Mbatia alisema kuwa kitendo hicho kilikiuka haki za binadamu ikiwemo wanawake kudhalilishwa kijinsia.
Mh. Mbatia emeongeza kuwa ili chaguzi zijazo ziwe za amani na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Makazi duni Nigeria: Makazi duni Lagos yako juu ya maji

Mamilioni ya raia wa Nigeria wanaishi katika maisha duni kupita kiasi.

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa wilaya wa Kinondoni asifia utendaji  wa Polisi katika uchaguzi mkuu.

Jeshi la Polisi Tanzania limepongezwa kwa kazi  nzuri ya ulinzi wa raia na mali zao hususani katika kipindi cha kampeni za uchaguzi hadi kupiga kura.

Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wilaya hiyo, Paul Makonda katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya polisi Oysterbay Kinondoni Jijini Dar es salaam.

 Mkuu huyo wa wilaya ya  Kinondoni, Paul Makonda amesema askari wa jeshi la Polisi nchini, wanafanya kazi katika...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

JK asifu ushirikiano TZ na Afrika Kusini


NA MWANDISHI WETU
RAIS  Jakaya  Kikwete amesifu uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini na kwamba haujawahi kuwa mzuri kama ilivyo sasa.
Amesema ni muhimu kwa Afrika Kusini kuendelea kuonyesha uongozi mzuri katika Ukanda wa Kusini mwa Afrika kwa sababu kwa kufanya hivyo,Afrika Kusini itakuwa inatimiza jukumu lake la kihistoria.
Rais Kikwete aliyasema hayo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati akiagana na Balozi wa Afrika Kusini hapa Tanzania , Thanduyise Henry Chiliza...

 

10 years ago

Mwananchi

Balozi wa EU asifu mchakato nzima

Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi amepongeza jinsi mchakato mzima wa Katiba Mpya ulivyoenda na kupongeza uamuzi uliofanywa wa kusitisha mchakato huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu asifu Katiba iliyopo

WAKATI mchakato wa mabadiliko ya Katiba ukitarajiwa kuendelea katika ngazi ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti mwaka huu, Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu, amesifu Katiba iliyopo kwa kuunganisha Watanzania kwa miaka 50.

 

11 years ago

Mwananchi

DK Shein asifu ushirikiano wa China

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Xi Jinping wa China na kujadili jinsi nchi hiyo inavyoweza kuchochea kasi ya maendeleo ya Wazanzibari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani