Balozi wa EU asifu mchakato nzima
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi amepongeza jinsi mchakato mzima wa Katiba Mpya ulivyoenda na kupongeza uamuzi uliofanywa wa kusitisha mchakato huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Dec
Balozi wa DRC asifu hatua za Magufuli
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambaye anamaliza muda wake, Juma-Alfani Mpango ambaye amesifia hatua za Rais John Magufuli anazochukua hivi sasa.
10 years ago
VijimamboMCHAKATO WA KUANZISHA AGENDA YA MAENDELEO UNARIDHISHA, BALOZI MWINYI
9 years ago
Habarileo16 Oct
Duni asifu utendaji wa polisi
MGOMBEA mwenza wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji, ameeleza kuridhishwa na utendaji wa Jeshi la Polisi katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
11 years ago
Habarileo19 May
Askofu asifu Katiba iliyopo
WAKATI mchakato wa mabadiliko ya Katiba ukitarajiwa kuendelea katika ngazi ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti mwaka huu, Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu, amesifu Katiba iliyopo kwa kuunganisha Watanzania kwa miaka 50.
11 years ago
Mwananchi14 Jan
DK Shein asifu ushirikiano wa China
10 years ago
Habarileo05 Mar
Asifu uhusiano wa Zanzibar na Comoro
MUFTI Mkuu wa Zanzibar, Shehe Saleh Kabi amesema Zanzibar inayo mengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zao wa Visiwa vya Ngazija, ikiwemo elimu ya dini ya Kiislamu ambayo wamepiga hatua kubwa.
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
JK asifu ushirikiano TZ na Afrika Kusini
NA MWANDISHI WETU
RAIS Jakaya Kikwete amesifu uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini na kwamba haujawahi kuwa mzuri kama ilivyo sasa.
Amesema ni muhimu kwa Afrika Kusini kuendelea kuonyesha uongozi mzuri katika Ukanda wa Kusini mwa Afrika kwa sababu kwa kufanya hivyo,Afrika Kusini itakuwa inatimiza jukumu lake la kihistoria.
Rais Kikwete aliyasema hayo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati akiagana na Balozi wa Afrika Kusini hapa Tanzania , Thanduyise Henry Chiliza...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Waziri asifu uzalishaji mali JKT