Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi wa DRC asifu hatua za Magufuli

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambaye anamaliza muda wake, Juma-Alfani Mpango ambaye amesifia hatua za Rais John Magufuli anazochukua hivi sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BALOZI DK.ASHA-ROSE MIGORO APONGEZA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA RAIS MAGUFULI KATIKA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI YA CORONA

*Agusia athari za Lockdown zilizoanza kujitokeza nchini Uigereza

 Na Said Mwishehe, Michuzi TV

BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amepongeza hatua ambazo zimechukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk.John Magufuli katika kukabiliana na virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19 ikiwemo ya kutoweka nchi kwenye 'Lockdown'.

Dk.Migiro amesema katika kukabiliana na Corona kila nchi iliamua kuchukua hatua kulingana na mazingira yake huku akifafafanua kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Balozi wa EU asifu mchakato nzima

Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi amepongeza jinsi mchakato mzima wa Katiba Mpya ulivyoenda na kupongeza uamuzi uliofanywa wa kusitisha mchakato huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatua kali kwa wanaharakati waliokamatwa DRC

Waziri wa Habari Lambert Mende amesema wanaharataki ambao wanaozuiliwa waliletwa ndani ya nchi ili kuongoza maasi dhidi ya serikali.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AAGANA NA BALOZI MPANGO WA DRC

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini, Mhe. Juma - Alfani Mpango   ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 2, 2015. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya kinyago Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo  nchini, Mhe. Juma-Alfani Mpango ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 2, 2015 kuaga.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI MULAMULA AWASINDIKIZA MARAIS WA DRC NA MSUMBJI

Rais Kabila (katikati) akielekea kwenye ndege, kulia ni Balozi Mulamula na kushoto ni Balozi wa Kongo nchini Mhe. Khalifani MpangoMhe. Rais Kabila akipita kwenye gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la wananchi Tanzania.Katibu Mkuu Mhe. Balozi Liberata Mulamula (kulia) akiagana na Rais Joseph Kabila tayari kwa kuanza safari ya kuelekea nchini kwake.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli hatua chache kutua Ikulu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeendelea kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu na mpaka jana - Jum

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli aombwa kuwachukulia hatua majangili wa meno ya tembo

Kamati ya Okoa Tembo Tanzania imemuandikia barua Rais John Magufuli ya kumuomba kuwachukulia hatua majangili na wafanyabiashara haramu ya Meno ya Tembo Tanzania ili kupunguza mauaji ya Tembo nchini.

Mwaka 2009 Tanzania ilikuwa na idadi ya Tembo 109,00 lakini hadi kufikia mwaka 2014 idadi ilipungua kwa asilimia 60 mpaka kufikia Tembo 43, 000 ambapo jitihada za ziada zinahitajika ili kuwanusuru Tembo waliobaki.

 Kutokana na tatizo hilo kamati Hiyo ya Okoa Tembo wa Tanzania imemtaka Rais...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AMEMUAGIZA MKURUGENZI WA ‘ZAWA’ KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA NA KUWACHUKULIA HATUA ZA NIDHAMU KWA MUJIBU WA SHERIA WATENDAJI WA MAMLAKA HIYO.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii.Mmiliki wa Kiwanja cha nyumba ya Ghorofa Mlandege Bwana Anuari Abdullah akijitetea kupata kibali kinachomruhusu kuendeleza ujenzi wa nyumba yake.
 Baadhi ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakitafakari na kufurahia maamuzi yaliyochukuliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...

 

9 years ago

Michuzi

WAMWANDIKIA BARUA YA WAZI RAIS DKT MAGUFULI ACHUKUE HATUA DHIDI YA UJANGILI WA BIASHARA HARAMU YA MENO YA TEMBO.

Kiongozi wa kampeni ya Okoa Tembo wa Tanzania,Shubert Mwarabu akizungumza na Waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO,kuhusiana na Barua yao ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli juu ya mauaji ya Tembo ambayo yamekuwa yakifanyika hapa nchini kwa kiwango kikubwa.Katika barua hiyo ya wazi,uongozi wa kampeni hiyo umetoa wito kwa Serikali kutekeleza ama kufanya yafuatayo1.kuwakamata na kuwashitaki wafanyabishara wakubwa wa meno ya Tembo nchini,bila kujali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani