Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatua kali kwa wanaharakati waliokamatwa DRC

Waziri wa Habari Lambert Mende amesema wanaharataki ambao wanaozuiliwa waliletwa ndani ya nchi ili kuongoza maasi dhidi ya serikali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Hatua kali zinahitajika kupambana ukatili kwa watoto’

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimevitaka vyombo vya usalama wa taifa, polisi na mahakama kushirikiana kikamilifu katika kupambana na wahalifu wanaohusika na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu...

 

9 years ago

StarTV

Uchafuzi Wa Mazingira Mwanza Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusika

Kamati ya usafi wa mazingira ya Pasiansi Mashariki imeitaka halmashauri ya jiji la Mwanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wale wote wanaohusika kuchafua mazingira na kuhatarisha maisha ya watu.

Ni kutokana na kuwepo kwa baadhi ya watu ambao wanadaiwa kutiririsha maji taka na vinyesi katika mitaro inayotiririshamaji kuelekea katika Ziwa Viktoria.

Haya yanajiri katika ziara ya kushtukiza iliyofanywa na diwani wa kata ya Kawekamo wilayani Ilemela jijini Mwanza Japhesi Joel pamoja na kamati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais apokea Ripoti ya CAG na kuagiza hatua kali zichukuliwe kwa wabadhirifu wa fedha za Serikali

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameviagiza vyombo vya Serikali kubaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za Serikali, ikiwa ni pamoja na kutoa malipo bila nyaraka zozote, kutumia fedha nje ya Bajeti na kutoa malipo bila idhini ya ofisa masuhuli, ili wachukuliwe hatua kali za kisheria na hatua nyingine.

Aidha, Rais Kikwete ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria kwa maofisa wote wa Serikali ambao wanahusika...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati walipongeza Bunge, wataka hatua zaidi kisheria

Wasomi mbalimbali nchini wamelipongeza Bunge kwa kufanya uamuzi kwa maridhiano na kutoa mapendekezo manane kwa Serikali ili ichukue hatua dhidi ya wote waliohusika katika wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

5 years ago

CCM Blog

KUCHUKULIWA HATUA KALI WALIOFUJA MALI ZA MKONGE

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watu wote waliohusika na ubadhilifu wa mali zikiwemo nyumba za Mamlaka ya Mkonge Tanzania.
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika  mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime  mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za...

 

11 years ago

BBCSwahili

CAF yaagiza hatua kali dhidi ya Algeria

CAF yataka hatua kali kuchukuliwa kufuatia mauaji ya mchezaji wa Cameroon hukoAlgeria

 

5 years ago

Michuzi

DC KIGOMA WASIOVAA BARAKOA KUKAMATWA NA KUCHUKULIWA HATUA KALI

Na Editha Karlo,Kigoma.
MKUU wa wilaya Kigoma Samson Anga ametangaza kuwa watu wote ambao watakutwa hawajavaa barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona watakamatwa na kuchukuliwa hatua.

Anga alisema hayo wakati akieleza tathmini ya agizo la Mkuu wa mkoa Kigoma, Emanuel Maganga  alilolitoa Meo Mosi mwaka huu kutaka watu wote mkoani humo kuanza kuvaa barakoa kuanzia Mei 2 mwaka huu wanapokuwa nje ya makazi yao na kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

TCRA izimulike blogs ‘Uchwara’ na kuzichukulia hatua kali

11039142_10200327749914253_7953568182828634952_n

“Screen shot” ikionyesha moja ya habari zilizorushwa kwenye moja ya blog uchwara kuhusiana na taarifa za uzushi wa kifo cha mchungaji Gwajima.

…Ni zile zinazoandika habari za uongo, matusi

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Miongoni mwa mambo ambayo Tanzania tunapitia kwa sasa ni pamoja na teknolojia  mbalimbali ikiwemo mawasiliano ya simu, intaneti  vyombo vya habari na mengine mengi,  Lakini mawasiliano hayo kwa sasa ikiwemo Intaneti wapo wanayoyatumia vibaya.

Kupitia  BLOG, mtandao ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani