Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dunia yalaumiwa kutodhibiti Ebola

Shirika la madaktari wasio na mipaka wameilaumu dunia kwa kuchelewa kuchukua hatua dhidi ya Ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Obama:Kutodhibiti silaha kumenisononesha

Katika mahojiano maaluma na BBC , Rais wa Marekani Barack Obama amesema kushindwa kudhibiti silaha nchini mwake ni jambo lililomsononesha katika utawala wake nchini Marekani.

 

10 years ago

Vijimambo

EBOLA NI JANGA LA DUNIA

Kasisi wa Hispania ambaye aliambukizwa virusi vya Ebola nchini Liberia akisafirishwa kwenda kupata matibabu nchi mwao.
Kwa kuongezeka kwa idadi ya vifo na ugonjwa kuendelea kusambaa, harakati za kutafuta tiba ya Ebola zinaendelea.

Wataalam tayari wanajua mengi kuhusu virusi hivi na namna vinavyoshambulia, lakini kupambana navyo kwa kutumia dawa ni jambo jipya.

Tangu Ebola ilivyobainika mwaka 1976, kila mlipuko umekuwa ukidhibitiwa kwa masharti ya hali ya juu kuhusu usafi-kutengwa kwa wagonjwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

WHO kuamua Ebola janga la dunia

Shirika la afya ulimwenguni wanakutana Geneva Uswis kuamua iwapo Ebola kuwa janga la barani Afrika na dharura ya dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Benki ya dunia yasaidia Ebola

Benki ya Dunia imetangaza kutoa msaada wa hadi dola milioni mia mbili, ili kuzisaidia tatu za Afrika magharibi kukabiliana na Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola ni funzo kubwa kwa WHO na dunia

Shirika la Afya Duniani, WHO limekutana kuangalia wapi imekosa katika maafa ya Ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado ni tisho kwa dunia

Umoja wa Mataifa unasema Ebola bado ni tisho kubwa na huenda ikasambaa duniani

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari mwengine wa Ebola aaga dunia

Ripoti kutoka Sierra Leone zinasema kuwa daktari mwengine amefariki kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

UK yalaumiwa Operesheni dhidi ya IS

Uingereza imelaumiwa kutofanya jitihada za kutosha kupambana na Wanamgambo wa Islamic State

 

11 years ago

BBCSwahili

Facebook yalaumiwa na watumiaji

Facebook imelaumiwa kwa kuwafanyia wateja wake utafiti wa kisaikolojia bila ya kuwajulisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani