Dylan Kerr aishika pabaya African Sports
NA ONESMO KAPINGA, TANGA
KOCHA Mkuu wa Simba Mwingereza, Dylan Kerr, ni kama aliwashika pabaya wachezaji wa African Sports baada ya kufanya uamuzi wa kwenda kuwasoma kabla ya kuvaana kwenye mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo amekiri alikuwa sahihi kwani aliweza kutambua uwezo wa mshambuliaji wao hatari, Novat Lufungo.
Kabla ya kukutana na African Sports juzi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Kerr alishawasoma wapinzani wake na kugundua umahiri wa mshambuliaji huyo hatari...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi28 Sep
UFUNDI: Dylan Kerr aanika kilichoiua Simba
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Kerr aibuka Tanga, aisoma African Sports kimya kimya
OSCAR ASSENGA, TANGA NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, juzi ametumia muda wa dakika 90 kukisoma kikosi cha timu ya African Sports “Wanakimanumanu”, wakati ikicheza mchezo wa kirafiki na Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Kocha huyo alitua Tanga kimya kimya ili kuweza kukijua vizuri kikosi cha ‘Wana kimanumanu’, kabla hawajakutana kwenye ufunguzi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Septemba 12, mwaka huu.
Mchezo huo wa kirafiki ulimalizika kwa Coastal Union...
9 years ago
TheCitizen18 Dec
Now Kerr targets Toto African scalp in tricky VPL encounter
9 years ago
Habarileo09 Sep
African Sports yaihadharisha Simba
UONGOZI wa timu ya soka ya African Sports ya Tanga umesema kuwa Simba isitarajie mteremko kwenye mchezo wa Jumamosi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
9 years ago
Habarileo25 Aug
African Sports yaipania Simba
TIMU ya soka ya African Sports “Wana Kimanumanu” ya Tanga imetamba kuwa itaifunga Simba katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Septemba 12, mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi05 May
African Sports yasaka Sh50 mil
10 years ago
Mwananchi18 Feb
African Sports, Mwadui kusaka bingwa
9 years ago
Mwananchi04 Sep
African Sports, imerudi kubipu au kupiga?
9 years ago
Mwananchi27 Sep
Mtihani kwa Mbeya City, African Sports