Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


African Sports, Mwadui kusaka bingwa

Timu vinara wa makundi ya Ligi Daraja la Kwanza, African Sports ya Tanga na Mwadui ya Shinyanga zitaumana Jumapili kwenye mchezo wa fainali wa kusaka bingwa wa ligi hiyo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yametimia Toto African, Mwadui zapanda Ligi Kuu

>Ndoto ya Oljoro JKT kupanda daraja zimezimika baada ya Mwadui na Toto African kushinda mechi zake na kufuzu kucheza Ligi Kuu msimu ujao.

 

9 years ago

Habarileo

African Sports yaipania Simba

TIMU ya soka ya African Sports “Wana Kimanumanu” ya Tanga imetamba kuwa itaifunga Simba katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Septemba 12, mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

African Sports yaihadharisha Simba

UONGOZI wa timu ya soka ya African Sports ya Tanga umesema kuwa Simba isitarajie mteremko kwenye mchezo wa Jumamosi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

 

9 years ago

Mwananchi

African Sports, imerudi kubipu au kupiga?

Ghafla, klabu ya African Sports ya Tanga imerudi katika Ligi Kuu nchini. Ilikuwa ni raha ya aina yake kuitazama zamani.

 

11 years ago

Mwananchi

African Sports yasaka Sh50 mil

Wakati michuano ya soka ya mabingwa wa mikoa ikitarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 10, klabu ya African Sports, ambayo ni bingwa wa Mkoa wa Tanga, inasaka zaidi ya Sh50 milioni kufanikisha ushiriki wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtihani kwa Mbeya City, African Sports

Mbeya City na African Sports zitashuka uwanjani leo kwenye mechi zinazoweza kuwa ufufuo au majanga kutokana na aina ya matokeo yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yaandaa dozi kwa African Sports

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema licha ya wengi kuibeza timu hiyo na kuona haitafanya vizuri msimu huu, lakini anaamini itawanyamazisha wote kwa kutwaa ubingwa msimu ujao.

 

9 years ago

Mtanzania

Dylan Kerr aishika pabaya African Sports

kerr kazini simba 34NA ONESMO KAPINGA, TANGA

KOCHA Mkuu wa Simba Mwingereza, Dylan Kerr, ni kama aliwashika pabaya wachezaji wa African Sports baada ya kufanya uamuzi wa kwenda kuwasoma kabla ya kuvaana kwenye mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo amekiri alikuwa sahihi kwani aliweza kutambua uwezo wa mshambuliaji wao hatari, Novat Lufungo.

Kabla ya kukutana na African Sports juzi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Kerr alishawasoma wapinzani wake na kugundua umahiri wa mshambuliaji huyo hatari...

 

10 years ago

Vijimambo

FRIENDS RANGERS YAFUFUA MATUMAINI YA LIGI KUU, AFRICAN SPORTS YAIKALISHA MAJIMAJI

BAO pekee la Ramadhani Hamidu dakika ya 20, limeipa ushindi wa 1-0 African Sports ya Tanga dhidi ya Majimaji, Uwanja wa Mkwakwani, mjini hapa katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara. Ushindi huo, unaifanya Sports itimize point 41 baada ya kushuka dimbani mara 19 ikiendelea kujikita kileleni mwa kundi A ya ligi daraja la kwanza. Timu mbili za kila kundi ufanikiwa kuingia VPL kila mwaka. Wanakimanumanu oyeeee kila la kheli katika michezo iliyo bakia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani