Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yametimia Toto African, Mwadui zapanda Ligi Kuu

>Ndoto ya Oljoro JKT kupanda daraja zimezimika baada ya Mwadui na Toto African kushinda mechi zake na kufuzu kucheza Ligi Kuu msimu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwadui kutisha Ligi Kuu

TIMU ya Mwadui FC kati ya timu nne zilizopanda msimu huu inapewa nafasi ya kuleta upinzani mkali katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na kusajili wachezaji wenye uzoefu.

 

10 years ago

Mwananchi

Toto, Mwadui zasubiri majaliwa kupanda

African Sports imepanda tayari Charles Abel, Mwananchi Dar es Salaam. Wakati African Sports ya Tanga ikiwa imeshapanda daraja, Majimaji ikitakiwa kushinda, hatima ya Toto Africans na Mwadui kupanda msimu ujao itategemea matokeo ya mechi za raundi ya 21.

 

10 years ago

Vijimambo

FRIENDS RANGERS YAFUFUA MATUMAINI YA LIGI KUU, AFRICAN SPORTS YAIKALISHA MAJIMAJI

BAO pekee la Ramadhani Hamidu dakika ya 20, limeipa ushindi wa 1-0 African Sports ya Tanga dhidi ya Majimaji, Uwanja wa Mkwakwani, mjini hapa katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara. Ushindi huo, unaifanya Sports itimize point 41 baada ya kushuka dimbani mara 19 ikiendelea kujikita kileleni mwa kundi A ya ligi daraja la kwanza. Timu mbili za kila kundi ufanikiwa kuingia VPL kila mwaka. Wanakimanumanu oyeeee kila la kheli katika michezo iliyo bakia.

 

10 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

Toto yazidi kutesa ligi yao

Toto Africans imeanza kunusa kucheza Ligi Kuu msimu ujao baada ya kuwachapa Polisi Mara kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba juzi.

 

9 years ago

StarTV

Maandalizi ya Krismas,Mwaka mpya Bei za bidhaa zapanda soko kuu Mwanza

 

Zikiwa zimebaki siku tano kufikia sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za baadhi ya bidhaa katika soko kuu jijini Mwanza imeanza kupanda vikiwemo vyakula na nguo hususani za watoto.

Wafanyabiashara wanadai kupandisha bei hizo kutokana na ongezeko la ushuru unaowalazimu kulipa mara mbili ya awali.

Katika jiji la Mwanza, watu wanapishana kwenye maduka kununua bidhaa kwa ajili ya sikukuu za Krismas na mwaka mpya.

Usemi usemao mgeni karibu mwenyeji apone unadhihirika kutokana na ujio wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bodi ya ligi yathibitisha ushindi wa Majimaji, Toto

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imethibitisha ushindi wa pointi na mabao matatu kwa timu za Majimaji na Toto Africans.

 

10 years ago

Mwananchi

African Sports, Mwadui kusaka bingwa

Timu vinara wa makundi ya Ligi Daraja la Kwanza, African Sports ya Tanga na Mwadui ya Shinyanga zitaumana Jumapili kwenye mchezo wa fainali wa kusaka bingwa wa ligi hiyo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani