Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya ligi yathibitisha ushindi wa Majimaji, Toto

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imethibitisha ushindi wa pointi na mabao matatu kwa timu za Majimaji na Toto Africans.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

USHINDI WA TOTO, MAJIMAJI WATHIBITISHWA FDL

MajimajiKamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha ushindi wa pointi na mabao matatu kwa timu za Majimaji na Toto Africans baada ya mechi zao za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kuvurugika kutokana na sababu mbalimbali.
Toto Africans imepewa ushindi huo kwa mujibu wa Kanuni ya 41(3) ya FDL baada ya vurugu za washabiki wa Geita Gold kusababisha mechi hiyo iliyochezwa Februari 10 mwaka huu kwenye Uwanja wa Nyankumbu mkoani Geita kuvunjika dakika ya 12.
Pia...

 

10 years ago

Vijimambo

USHINDI WA TOTO, MAJIMAJI HAOOOO WATHIBITISHWA FDL

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha ushindi wa pointi na mabao matatu kwa timu za Majimaji na Toto Africans baada ya mechi zao za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kuvurugika kutokana na sababu mbalimbali.Toto Africans imepewa ushindi huo kwa mujibu wa Kanuni ya 41(3) ya FDL baada ya vurugu za washabiki wa Geita Gold kusababisha mechi hiyo iliyochezwa Februari 10 mwaka huu kwenye Uwanja wa Nyankumbu mkoani Geita kuvunjika dakika ya 12.Pia Kamati hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Majimaji, Toto African kwa malengo tofauti

>Baada ya kufanikiwa kupanda  daraja na kucheza Ligi Kuu Bara, Majimaji ya Songea na Toto African ya Mwanza zimejiwekea malengo tofauti.

 

10 years ago

Mwananchi

Toto yazidi kutesa ligi yao

Toto Africans imeanza kunusa kucheza Ligi Kuu msimu ujao baada ya kuwachapa Polisi Mara kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba juzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Yametimia Toto African, Mwadui zapanda Ligi Kuu

>Ndoto ya Oljoro JKT kupanda daraja zimezimika baada ya Mwadui na Toto African kushinda mechi zake na kufuzu kucheza Ligi Kuu msimu ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Majimaji FC imepandishwa na Mswahili, itashushwa na Mzungu?

Mpira unazidi kurudi katika nyumba zake na Songea ni moja kati ya nyumba za soka ambazo mpira ulihama kwa miaka mingi.

 

10 years ago

Vijimambo

FRIENDS RANGERS YAFUFUA MATUMAINI YA LIGI KUU, AFRICAN SPORTS YAIKALISHA MAJIMAJI

BAO pekee la Ramadhani Hamidu dakika ya 20, limeipa ushindi wa 1-0 African Sports ya Tanga dhidi ya Majimaji, Uwanja wa Mkwakwani, mjini hapa katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara. Ushindi huo, unaifanya Sports itimize point 41 baada ya kushuka dimbani mara 19 ikiendelea kujikita kileleni mwa kundi A ya ligi daraja la kwanza. Timu mbili za kila kundi ufanikiwa kuingia VPL kila mwaka. Wanakimanumanu oyeeee kila la kheli katika michezo iliyo bakia.

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi ya Ligi kitanzini

Dar es Salaam. Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichokutana jana kimeshindwa kuivunja bodi ya ligi badala yake wameunda kamati ya kuchunguza muundo wake.

 

10 years ago

Mtanzania

Bodi ya Ligi yahusishwa

LIGIKUUNA MWANDISHI WETU
BODI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (TPLB) imehusishwa kwenye uvurundaji wa utoaji wa tuzo kwa waliofanya vizuri msimu uliopita wa ligi hiyo.
Kampuni ya Vodacom Tanzania ilifanya hafla ya utoaji wa tuzo hizo Alhamisi iliyopita jioni baada ya zoezi hilo mijadala mikubwa imeibuka kwenye vijiwe vya soka kutokana na baadhi ya waliopewa tuzo kutokidhi vigezo.
Habari za uhakika zilizolifikia MTANZANIA jana zimedai kuwa baadhi ya wajumbe wa bodi ya ligi, walitaka kulinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani