‘EAC acheni urasimu vibali kwa wafanyakazi’
Vyama vya wafanyakazi na waajiri katika nchi za Afrika ya Mashariki, vimezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, (EAC) kuondoa urasimu na gharama kubwa za vibali kwa wafanyakazi kutoka nchi moja kwenda nyingine ili kutekeleza Itifaki ya Soko la Pamoja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
TPSF: Urasimu utoaji vibali vya ujenzi kikwazo cha maendeleo
TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), imesema Tanzania haiwezi kuendelea kukwamishwa na urasimu wa utoaji wa vibali vya ujenzi ambavyo vinarudisha nyuma juhudi za kujenga mazingira bora ya kufanya biashara...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue
MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Serikali yatoa vibali vya madini kwa wananchi
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga amesema, serikali imekuwa ikitoa vibali vya uchimbaji wa madini kwa wananchi wanaohitaji kufanya hivyo, pindi inapogundua kuna maeneo yana madini.
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Waziri Simbachawene amsimamsisha kazi Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Dodoma kwa kuhusika na urasimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. George Simbachawene (pichani) amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuwasimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Dodoma Bw. Elias N. Kamara na Bibi Donatila D. Vedasto (Afisa Biashara) kuanzia leo tarehe 30/12/2015 kwa kosa la kusababisha urasimu katika utoaji wa leseni za biashara.
Kutokana na hali hiyo Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kumuondoa kwenye...
9 years ago
MichuziSERIKALI KUFANYA OPERASHENI YA KUKAGUA VIBALI VYA AJIRA KWA WAGENI
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-YwDdZCxJ30o/VXmCSTOP7pI/AAAAAAABhg8/zHzH4u3IJyQ/s72-c/ASASI%2BZA%2BKIRAIA%2BELIMU%2B1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Wizara ya afya yafuta vibali vilivyotolewa na maafisa utamaduni kwa waganga wa tiba mbadala
Mkuu wa kituo kidogo cha polisi Ndago, Bw.Richard Kimolo (kushoto), Diwani wa kata ya Mbelekese, Bi Monica Samweli (wa pili kutoka kushoto), Katibu mkuu CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Dk.Tano Mika Likapakapa wakiwa kwenye semina ya operesheni tomomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) na vikongwe inayoendelea tarafa ya Ndago, wilayani Iramba.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Mwandishi wetu, Iramba
WIZARA ya Afya na Ustawi wa jamii imefuta vibali vyote vilivyotolewa na...
9 years ago
Dewji Blog16 Aug
Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi kusimamia Haki ya Fidia kwa wafanyakazi
![](http://1.bp.blogspot.com/-oIQT1unmzzo/VdBzkYWQpFI/AAAAAAAAXv8/Qe-eB9mYhWo/s640/B3.jpg)
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Masha Mshomba, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya Mfuko huo barabara ya Bagamoyyo jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2015. Mfuko huo ulioanzishwa kwa sheria ya bunge namba 20 kifungu cha 5 ya mwaka 2008, una madhumuni ya kutoa fidia kwa Wafanyakazi kutokana na ulemavu au vifo viinavyosababishwa na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi sambamba na kukuza mbinu za kuzuia matukio ya ajali, alisema. (Picha na...
9 years ago
Habarileo17 Dec
Acheni kufanyakazi kwa mazoea-Ummy
SERIKALI imewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kutofanya kazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kufikia malengo yaliyowekwa. Hatua hiyo inaelezwa itasaidia kurahisisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi kwa kutoa huduma bora na zinazofikiwa kwa wakati.