Ebola: Waathiriwa waombwa kutumia kondomu
Waathiriwa wa Ebola wametakiwa kutumia kondomu baada ya matokeo ya utafiti kuonyesha virusi vya ugonjwa huo husalia katika majimaji ya mbegu za kiume muda mrefu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Maiti za waathiriwa wa Ebola kuchomwa Liberia
Serikali ya Liberia imetaka miili yote ya watu waliopoteza maisha kutokana na Virusi vya Ebola kuchomwa moto.
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Ebola:Wauguzi waombwa wasigome Liberia
Maafisa wa afya Liberia,wanawaomba wauguzi na wasaidizi wao kusitisha mpango wao wa mgomo wa kitaifa huku mlipuko wa Ebola ukiendelea kukithiri nchini humo.
10 years ago
Bongo503 Dec
Korea Kaskazini yaishutumu US kusambaza Ebola na kutumia Afrika kama sehemu ya kujaribia silaha hiyo ya Kibailojia
Koreas Kaskazini imeishutumu Marekani kwa kusambaza makusudi virusi vya ugonjwa wa Ebola na kwamba inatengeneza silaha hiyo ya kibailojia ili kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani. Taifa hilo limelazimika kufunga mipaka yake kuzuia watalii ikiwa ni pamoja na kumtenga kila anayeingia. Ripoti ya Korean Central News Agency (KCNA) inadai kuwa aliyekuwa msaidizi wa Rais wa […]
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Wanawake waathiriwa na mihadarati TZ
Imeelezwa kuwa utumiaji wa dawa hizo miongoni mwa wanawake ni changamoto kubwa katika jamii,visiwani Zanzibar
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
Waathiriwa wa vita CAR
Vita vya kidini vya zaidi ya mwaka mmoja CAR vimesababisha hali ya kusikitisha kwa wananchi
10 years ago
BBCSwahili13 Sep
Waathiriwa wa mabomu Mbagala walalama
Mkutano wa waandishi habari na Waathirika wa Mabomu ,umefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mbagala Kuu ,jijini Dar-Es-Salaam .
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Waathiriwa wa Osama kufidiwa Tanzania
Watanzania walioathirika na mlipuko wa mabomu katika ubalozi wa Marekani mjini Dar es Salaam wameshinda kesi yao na sasa watalipwa fidia.
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Mamia waathiriwa na pombe Kenya
Mamia ya Wakenya wameathirika na pombe na serikali imeanzisha mpango wa kuwarekebisha katika uwanja mmoja wa michezo
11 years ago
BBCSwahili27 Jul
Waathiriwa wa ndege kupelekwa Ufaransa
Rais wa Ufaransa ameahidi kwamba mabaki ya raia 118 na wafanyikazi wa ndege ilioanguka Mali watapelekwa Ufaransa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania