Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola yaenea katika kitovu cha mafuta Nigeria

Serikali ya Nigeria imethibitisha kutokea kifo cha daktari mmoja kutokana na ugonjwa wa Ebola katika mji wa Port Harcout nje ya Lagos.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAFUTA YA PANONE YAWAKUMBUKA WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA GABRIELA CHA MJINI MOSHI

Wafanyakazi wa kampuni ya Mafuta ya Panone wakiwa katika picha ya Pamoja na watoto wanao lelewa katika kituo cha Gabriela cha mjini Moshi.Afisa uhusiano wa timu ya soka ya Panone fc Kassmi Mwinyi akitoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.Meneja Masoko wa Kampuni ya Panone Frank Mwaikatale akigawa zawadi ya mikate kwa watoto wanaolelewa katika  kituo cha Gabriela cha mjini Moshi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Mwananchi

‘Swahilihub’ — Kitovu cha Kiswahili

Wako wasomaji wachache sana wanaofahamu maana ya ‘Swahilihub’. Kwa hiyo lengo la makala yangu ni kutoa ufafanuzi kwani lugha ya Kiswahili imekuwa ni kama ‘bidhaa’ adimu ambayo inaweza kutuletea fedha na kukuza uchumi wetu. Mbali na hayo lugha ya Kiswahili inaweza kuwa ni chanzo mojawapo ya kuwapatia vijana wetu ajira ndani na nje ya nchi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kifo cha pili kutokana na Ebola Nigeria

Nigeria imeripoti kifo cha pili kutokana na homa kali ya Ebola ambayo imekuwa janga kubwa katika kanda ya Afrika Magharibi

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya kuirejesha Tabora kitovu cha elimu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya ameahidi kuurudisha Mkoa wa Tabora kuwa kitovu cha elimu na usafiri ili kuurejeshea mkoa huo hadhi yake kama ilivyokuwa awali.

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

9 years ago

Habarileo

Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha maziwa

SERIKALI imeahidi kuifanya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha uzalishaji maziwa kwa kuwa ina mazingira yanayofaa kwa uzalishaji na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito Afrika

Na Greyson Mwase, Bagamoyo
Imeelezwa kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini ya vito. Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na...

 

9 years ago

Vijimambo

DC PAUL MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA KATIKA GEREJI YA WACHINA NA KIWANDA CHA MAFUTA NA SABUNI,

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Gereji ya Spring City Enterprises inayomilikiwa na raia wa China iliyopo Mikocheni B Mlalakuwa  Barabara ya Mwai Kibaki Dar es Salaam leo, alipofika kusikiliza malalamiko yao mbalimbali yakiwemo ya kutokuwa na mikataba ya kazi licha ya kuwa kazini kwa zaidi ya miaka saba. Makonda akiangalia kitambulisho dhaifu wanavyotumia wafanyakazi hao ambacho hakiwezi kutumimika kumuwekea mtu dhamana na shughuli...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO

Kumekuwa na takriban vifo 1,000 na zaidi ya maambukizi 18,000 barani Afrika kufikia sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani