‘Swahilihub’ — Kitovu cha Kiswahili
Wako wasomaji wachache sana wanaofahamu maana ya ‘Swahilihub’. Kwa hiyo lengo la makala yangu ni kutoa ufafanuzi kwani lugha ya Kiswahili imekuwa ni kama ‘bidhaa’ adimu ambayo inaweza kutuletea fedha na kukuza uchumi wetu. Mbali na hayo lugha ya Kiswahili inaweza kuwa ni chanzo mojawapo ya kuwapatia vijana wetu ajira ndani na nje ya nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Jun
Mwandosya kuirejesha Tabora kitovu cha elimu
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya ameahidi kuurudisha Mkoa wa Tabora kuwa kitovu cha elimu na usafiri ili kuurejeshea mkoa huo hadhi yake kama ilivyokuwa awali.
9 years ago
Habarileo16 Oct
Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha maziwa
SERIKALI imeahidi kuifanya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha uzalishaji maziwa kwa kuwa ina mazingira yanayofaa kwa uzalishaji na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Ebola yaenea katika kitovu cha mafuta Nigeria
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s72-c/unnamedn.jpg)
Tanzania kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito Afrika
![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s1600/unnamedn.jpg)
Imeelezwa kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini ya vito. Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na...
11 years ago
Michuzi17 May
CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI
![](https://3.bp.blogspot.com/-DjAqPB6POFI/U3dgBR2MovI/AAAAAAABoNI/xWtWqCobeG8/s640/IMG_0987.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-oUwZr4WMSkQ/U3dflJ5J2XI/AAAAAAABoMo/V-8dVuzJfLw/s640/IMG_0989.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-uY1rc3qzWko/U3dgdSdAufI/AAAAAAABoNY/xcZMTNmPxF4/s640/IMG_0995.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-LbfTmwZVtS8/U3dg6QxE1tI/AAAAAAABoN4/WHF3kALUvEU/s640/IMG_1000.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-6tTe8omDQNY/U3dg2SD1q9I/AAAAAAABoNs/qnamPZ5O7eM/s640/IMG_1001.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO
9 years ago
MichuziUtambulisho wa kipindi kipya cha Televisheni cha Kiswahili Washington DC
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Kiswahili ni cha wasiojua Kiingereza?
10 years ago
Mwananchi09 Dec