Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandosya kuirejesha Tabora kitovu cha elimu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya ameahidi kuurudisha Mkoa wa Tabora kuwa kitovu cha elimu na usafiri ili kuurejeshea mkoa huo hadhi yake kama ilivyokuwa awali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwandosya awakuna wazee wa Tabora

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZEE na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini mkoani Tabora wamempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya kwa kuwakumbuka na kula nao futari ya pamoja katika siku ya kwanza ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Swahilihub’ — Kitovu cha Kiswahili

Wako wasomaji wachache sana wanaofahamu maana ya ‘Swahilihub’. Kwa hiyo lengo la makala yangu ni kutoa ufafanuzi kwani lugha ya Kiswahili imekuwa ni kama ‘bidhaa’ adimu ambayo inaweza kutuletea fedha na kukuza uchumi wetu. Mbali na hayo lugha ya Kiswahili inaweza kuwa ni chanzo mojawapo ya kuwapatia vijana wetu ajira ndani na nje ya nchi.

 

9 years ago

Habarileo

Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha maziwa

SERIKALI imeahidi kuifanya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha uzalishaji maziwa kwa kuwa ina mazingira yanayofaa kwa uzalishaji na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yaenea katika kitovu cha mafuta Nigeria

Serikali ya Nigeria imethibitisha kutokea kifo cha daktari mmoja kutokana na ugonjwa wa Ebola katika mji wa Port Harcout nje ya Lagos.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito Afrika

Na Greyson Mwase, Bagamoyo
Imeelezwa kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini ya vito. Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO

Kumekuwa na takriban vifo 1,000 na zaidi ya maambukizi 18,000 barani Afrika kufikia sasa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mwandosya: Fedha si kigezo cha Urais


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya, amesema fedha si kigezo cha mtu kuteuliwa kuwania nafasi ya urais na kwamba, imani iliyojenga haina mashiko.
Amesema suala hilo limekuwa likimtatanisha na kueleza kuwa kiongozi huchaguliwa kutokana na uadilifu na uwezo wake na si kigezo cha fedha kama baadhi ya makada walivyojenga imani hiyo.
Profesa Mwandosya, ambaye ni miongoni mwa makada wa CCM wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro cha urais mwakani, alisema imani...

 

5 years ago

Michuzi

RC TABORA ASIMAMISHA LIKIZO ZA WAGANGA NA WAUUGUZI KUTOA ELIMU YA KUPAMABANA NA CORONA




Zoezi la upulizaji wa dawa kwenye mabasi katika Stendi kuu ya Nzega Mkoani Tabora ukiendelea kama sehemu ya mkakati wa kukabiliana na Virusi vya Corona.

………………………………………………………MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amesimamisha kwa muda likizo za watumishi wakiwemo wa Idara za Afya ili waendelee kuunganisha nguvu katika kusaidia jamii kwenye kampeni za mapambano ya ugonjwa wa Covid -19.

Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwakuwepo na wataalamu wa kutosha katika maeneo yote ambao wataendelea kutoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani