EFD yapunguza mapato ya serikali
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya, amesema mwitikio mdogo wa wafanyabiashara katika utumiaji wa mashine za kielektroniki (EFD) ni moja ya sababu za kutofikia lengo la makusanyo ya kodi kwa mwaka wa fedha unaoisha.
Akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 mjini Dodoma jana, Waziri Saada alisema hadi Aprili mwaka huu mapato ya kodi yalikuwa yamefikia Sh trilioni 8.1 sawa na asilimia 72 ya makadirio ya mwaka ya Sh trilioni 11.3.
Waziri Saada alisema sababu nyingine ni pamoja na kushuka kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Feb
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Serikali yapunguza deni MSD
10 years ago
Habarileo26 May
Serikali yapunguza deni lake Magereza
JESHI la Magereza nchini limeipongeza Serikali ya Awamu ya Nne kwa hatua ya kuanza kupunguza deni lake la kiasi cha Sh bilioni tano linalotokana na huduma ya kutoa chakula cha wafungwa Magerezani.
10 years ago
Habarileo02 Apr
Serikali yapunguza deni kwa wakulima
SERIKALI imeendelea na kasi ya kulipa deni ililokuwa inadaiwa na wakulima sehemu mbalimbali nchini ambapo jana Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga imewalipa wakulima wa mikoa ya Rukwa na Katavi zaidi ya Sh bilioni tisa kati ya Sh bilioni 22 walizokuwa wakiwadai baada ya kuwauzia mahindi msimu wa ununuzi uliopita.
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Nassari: Serikali inunune mashine za EFD China
MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), ameihoji serikali ni kwanini isinunue mashine za kieletroniki (EFD) nchini China ambako zinauzwa kwa bei ndogo. Nassari amehoji hatua hiyo bungeni jana alipokuwa...
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
MASHINE ZA EFD: Tulipe kodi, serikali iwajibike
SERIKALI zote duniani huendeshwa kwa mapato. Kama hazina mapato zinakuwa zimefilisika na kuingia kwenye orodha ya mataifa yaliyofilisika. Kufilisika kwa taifa huja kwa viashiria vingi sana, kwanza serikali kuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Serikali yazidi kuhimiza mashine za EFD nchini
UJIO wa mashine za kielektroniki za kutolea risiti za kodi (EFDs) nchini ni ukombozi wa ukusanyaji wa mapato ya nchi yaliyokuwa yakipotea na kulinyima taifa mapato. Mamlaka ya Mapato Tanzania...