Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EFM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MWAKA KWA KISHINDO

Jikekizz la nguvu la kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Radio 93.7 EFM.Mstahiki Meya wa Kinondoni, Yussuf Mwenda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila walipo kutana katika ofisi za EFM asubuhi ya leo.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mtangazaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi, Dennis Ssebo akiwa na Mkurugrnzi Mkuu wa Radio 93.7 EFM, Francis Ciza.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

EFM RADIO YATIMIZA MWAKA MMOJA KWA KISHINDO

Keki ya bethidei ya Efm kutimiza mwaka mmoja. Keki ya bethidei ikikatwa. Happy birthday Efm Radio. Familia ya Efm…

 

10 years ago

Bongo5

Twende Sawa: EFM yazindua shehere za kutimiza mwaka mmoja tangu ianze kwenda hewani

Kituo cha radio EFM kimezindua sherehe za maadhimisho ya kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake tarehe 2/4/2014. Mkurugenzi wa mawasiliano EFM, Dennis Ssebo (kulia) akiwa na mkuu wa vipindi EFM, Dickson Ponela Sherehe hiyo imepewa jina la ‘Twende Sawa’ kama njia ya kuwashukuru wasikilizaji kwa kwenda sawa tangu kuwashwa kwa mitambo ya EFM. Akizungumza na […]

 

11 years ago

GPL

BENKI YA CRDB TAWI LA UBUNGO YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 2

Keki iliyoandaliwa na uongozi wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo kwa ajili ya sherehe za kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa tawi hilo, ambapo wateja wa benki hiyo walijumuika na wafanyakazi wa tawi hilo kusherehekea kwa pamoja.…

 

10 years ago

Michuzi

CLOUDS FM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWAKE.

Mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,Adam Mchomvu akitoa muongozo mfupi kwa baadhi ya Wafanyakazi wenzake waliomzunguka,kuhusiana na ukataji na ulaji wa Ndafu kama ionekavyo pichani,wakati wa hafla ya kutimiza miaka 15 ya kituo cha redio ya Clouds FM,tangu kuanzishwa kwake nchini.Redio hiyo imejizolea umaarufu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na Duniani kwa ujumla.
Globu ya Jamii inaitakia kheri na fanaka Clouds FM katika kusherehekea miaka 15 tangu kuzaliwa kwake. Ndafu wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA KUTIMIZA MIAKA 15 KWA KISHINDO,KUHUSISHA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions Ltd,Bwa Alex Msama akifafanua zaidi kwa Wanahabari kuhusiana na tamasha hilo ambalo mwaka huu linatimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake. 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco hapo jana,kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, Msama amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbaji wa muziki wa ...

 

5 years ago

CCM Blog

BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2020-2021 YAPITISHWA KWA KISHINDO


Wabunge wamepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ya jumla ya shilingi Trilioni 34.88.Bajeti hiyo imepitishwa kwa kura 304 za ndio kati ya kura 371 zilizopigwa na wabunge waliokuwepo bungeni jijini Dodoma.Shughuli ya upigaji kura, imefanyika kwa mbunge kuitwa jina lake na kupiga kura hadharani kwa sauti.Akitangaza matokeo ya kura, Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema, wabunge waliopiga kura walikuwa 371 na wabunge 13 hawakuwepo bungeni.Kagaigai amesema, kura 63...

 

10 years ago

GPL

ISHA, TUNDA WAFUNGUA MWAKA KWA KISHINDO DAR LIVE

QUEEN of the Best Melody, Isha Mashauzi pamoja na mkali wa Bongo Fleva, Tunda Man waliufungua mwaka 2015 ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kwa kishindo. Wakali wa Bongo Fleva, Tunda Man na Chid Benz wakiwapagawisha mashabiki. Shoo hiyo iliyokuwa ya aina yake kwa kundi la Mashauzi Classic likiongozwa na Isha lilianza kufungua pazia la burudani kwa kupiga ngoma zao zote kali ambazo zinabamba kama vile Mama Nipe...

 

9 years ago

Global Publishers

Msaga Sumu afunga mwaka Dar Live kwa kishindo

msagas msagasumu akiimba wimbo wa shemeji unanitega Bingwa wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu akifanya yake Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar .

mashabikiiiiMashabiki  wakimshangilia Msaga Sumu (hayupo katika picha).

msagasumu akikamua ngoma ya huyu mtotoMashabiki  akiendelea na shoo yake.

msagasumu msagasumuuAkiendelea na Makamuzi yake mida ya Saa 5: 50 usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

(PICHA: MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS/GPL)

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA WATEJA WAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyowaandalia wateja iliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akipeana mkono na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika mwishoni mwa wiki Dar es Salaam. Kushoto ni Juma Abdulrahman. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani