El-Shamma yamweka kambini Kayala
MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, George Kayala, ameingia kambini kwa ajili ya kujinoa kurekodi video ya wimbo wake mpya wa ‘Siwema’ akiwa chini ya usimamizi wa El-Shamma Production ambayo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Ebola yamweka chini ya karantini
11 years ago
Mwananchi17 Jul
PSG yamweka sokoni Cavani
10 years ago
Mwananchi04 Aug
Chadema yamweka pembeni Dk Slaa
10 years ago
VijimamboUTATA MTOTO WA FLORA... FAMILIA YAMWEKA KIKAANGONI...MWENYEWE AJIKAANGA
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Kayala aomba sapoti Agosti 9
MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, George Kayala amewaalika wadau wote wa muziki wa injili jijini Dar es Salaam kufika katika uzinduzi wa albam yake ya kwanza iItwayo ‘Siwema’ utakaofanyika...
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Kayala ajipanga kufanya makubwa
MUIMBAJI wa nyimbo za injili anayetamba na wimbo ‘Siwema’, George Kayala, ameahidi kuweka rekodi katika uzinduzi wa albamu yake ya ‘Siwema’ utakaofanyika katika Kanisa la WRM, Matembele ya Pili Kivule...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Best Records kumfanyia makubwa Kayala
UONGOZI wa Studio ya Best Records iliyopo Salasala jijini Dar es Salaam, imesema itazirekodi kwa ubora wa hali ya juu nyimbo saba za mwimbaji wa injili nchini, George Kayala, ili...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Bahati Bukuku amtoa chozi Kayala
MUIMBAJI anayetikisa anga la nyimbo za Injili na kibao cha ‘Siwema’, George Kayala, ameelezea masikitiko yake kutokana na ajali mbaya ya gari aliyopata mkali wa muziki huo nchini, Bahati Bukuku,...
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Kayala alamba mkataba wa albamu ya pili
NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI wa nyimbo za injili aliyetamba na kibao cha ‘Siwema’, George Kayala, ameingia mkatabawa mwaka mmoja na Studio ya Deey Records ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya albamu yake ya pili ambayo bado hajajua ataiitaje.
Mwimbaji huyo ambaye ni mwandishi wa habari wa Burudani wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, alisema amesharekodi wimbo mmoja kwenye studio hiyo iliyopo Mwembechai, jijini Dar es Salaam, chini ya prodyuza Ramadhan Lwambo.
“Huduma ya...