Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ELEWA KALENDA YA KUPATA MIMBA

Kalenda ya Ovulation au kalenda ya kubeba mimba ni mzunguko wa mwezi baada ya kupata hedhi, yaani siku ya kwanza unayopata damu yako ya hedhi hadi siku kabla ya kupata tena hedhi nyingine. Ili kujua mzunguko huo vyema, inatubidi tuchunguze hedhi kwa miezi isiyopungua sita. Lakini kama una haraka na huwezi kuchunguza kwa miezi 6 chunguza kwa miezi mitatu. Unaweza kufanya hivyo kwa kutumia kalenda ya kawaida na kwa kuziwekea mduara...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

EELEWA KALENDA YA KUPATA MIMBA-2

Naendelea kuelezea kalenda ya kupata mimba ili ufahamu elimu hiyo. Jambo lingine muhimu ni mwanamke kuchunguza idadi ya siku za mzunguko wake mrefu wa hedhi. Toa siku 11 kutoka katika idadi ya siku za mzunguko huo na utapata namba fulani. Halafu tena anza kuhesabu katika mzunguko wako ujao wa hedhi kwenda mbele hadi kufikia siku ambayo una uwezekano wa kupata mimba. Kwa mfano iwapo mzunguko wako mrefu ni siku 31, toa 11 katika...

 

9 years ago

GPL

ELEWA SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE ASIPATE MIMBA!

Wanawake wengi wanataka niwaeleze kitaalam sababu za kutopata mimba. Zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanamke asipate ujauzito. Miongoni mwa sababu hizo ni kuwa na tatizo la mfumo wa homoni katika mwili wa mwanamke ambapo hutawaliwa na homoni hizo ambazo kemikali za asili zimo ndani ya mwili.
Yakitokea mabadiliko kidogo wakati wa uzalishaji wa homoni hizo huweza kusababisha mwanamke ashindwe kupata mimba. Lipo tatizo la...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba

Ishu ya  Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.

Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana na imani za nguvu za giza.

Wema ambaye alifunguka hayo hivi karibuni, anadai kuwa yawezekana marehemu Steven Kanumba anahusika kwenye...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA CHINA YAWEKA MASHARTI YA MTU KUPATA MIMBA

KAMPUNI moja nchini China imepanga masharti kwa wafanyakazi wake wa kike ikiwa watataka kupata mimba. Masharti hayo ambayo yamewekwa katika sheria za kampuni hiyo zimezua malalamiko mengi katika mitandao ambapo wanawake wote walio kwenye ndoa lazima wawe wamefanya kazi kwa mwaka mmoja kwenye kampuni hiyo kabla ya kutoa maombi ya kukubaliwa kushika mimba. Kwa mujibu wa masharti hayo, anayekiuka utaratibu huo  na kushika mimba...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-2

Kwa baadhi ya watu, bakteria wa kifua kikuu wanakuwa tulivu maisha yote bila ya kuwa wakali. Lakini kwa watu wengine kifua kikuu kinaweza kuwa kikali iwapo mfumo wa kinga wa mtu unadhoofika- kwa mfano kwa VVU. Kifua kikuu kinaweza kubainishwa kwa kuingiza kiasi kidogo cha dawa inayoitwa Tuberculin kwenye ngozi ya mkono wa mtu. Iwapo ngozi itavimba ni dalili kwamba pengine mtu huyo ameambukizwa kifua kikuu.Hata hivyo, njia hii...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-3

Naendelea kuelezea undani wa ugonjwa wa kifua kikuu ambapo leo nitazitaja dalili zake. Watu wenye kifua kikuu tulivu ambao si wagonjwa, wanaweza kutumia vidonge vya Isoniazid kwa miezi mingi ili kuwakinga wasipate kifua kikuu kikali. Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza kuwa watu wenye VVU na kifua kikuu tulivu (lakini si kifua kikuu kikali) wapewe kinga ya Isoniazid kama inavyotakiwa. Kifua kikuu chenye usugu wa dawa...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)

Kifua kikuu ambacho ni maarufu kwa kuitwa TB, ni ugonjwa unaosababishwa na kiumbehai. Bakteria wa Mycobacterium Tuberculosis (TB) anaweza kushambulia sehemu yoyote ya mwili, lakini mara nyingi hushambulia mapafu. Mtu anaweza kuwa na kifua kikuu kikali au tulivu. Kifua kikuu kikali au ugonjwa wa TB inamaanisha kuwa bakteria wanashambulia mwili na mfumo wa kinga unashindwa kuwazuia wasisababishe ugonjwa. Watu wenye kifua kikuu...

 

10 years ago

Vijimambo

NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO






Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani