KAMPUNI YA CHINA YAWEKA MASHARTI YA MTU KUPATA MIMBA
![](http://api.ning.com:80/files/YTFvh9JoYPEsOi*IalH2WWJL1os2eNtobabo6GGd75lzBm5yjZvuLi--4tzODflkRmHFprBin4CI8g6ynSSWr2RZTpgM927h/pregnantbelly.jpg?width=650)
KAMPUNI moja nchini China imepanga masharti kwa wafanyakazi wake wa kike ikiwa watataka kupata mimba. Masharti hayo ambayo yamewekwa katika sheria za kampuni hiyo zimezua malalamiko mengi katika mitandao ambapo wanawake wote walio kwenye ndoa lazima wawe wamefanya kazi kwa mwaka mmoja kwenye kampuni hiyo kabla ya kutoa maombi ya kukubaliwa kushika mimba. Kwa mujibu wa masharti hayo, anayekiuka utaratibu huo na kushika mimba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies29 Jun
Wema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba
Ishu ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.
Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana na imani za nguvu za giza.
Wema ambaye alifunguka hayo hivi karibuni, anadai kuwa yawezekana marehemu Steven Kanumba anahusika kwenye...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA RITHT HERE NCHINI IMEPATA MWEKEZAJI MPYA NA KUPATA UBIA NA KAMPUNI KUBWA YA KIMATAIFA.
Kampuni ya matangazo ya FLAMETREE iliyojikita Africa mashariki sasa imezinduliwa upya na kupewa jina jipya la RIGHT HERE TANZANIA, mabadiliko haya yametokana na kuingia kwa mwekezaji mpya wa kimataifa ambaye ameonyesha nia ya dhati ya kuwekeza kwenye kampuni hii kufuatia utendaji mzuri aliouona kwenye kampuni hiyo na kuamua kuongeza nguvu zaidi katika kuinua utendaji, uwekezaji huu unatarajiwa kuongeza tija na muamko wa wafanyakazi na wateja wao. Kufuatia mabadiliko haya sasa kampuni ya...
10 years ago
Habarileo03 Feb
Uingereza yaombwa kulegeza masharti ya kupata viza
WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema inaendelea kuisihi Uingereza na nchi nyinginezo kulegeza masharti ya viza kwa Watanzania na kupunguza usumbufu.
10 years ago
Mwananchi11 Aug
China yaweka historia ya Tazara kitabuni
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Masharti kwa wimbo wa taifa China
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/pregnant_2176694b.jpg?width=650)
EELEWA KALENDA YA KUPATA MIMBA-2
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EDr-zswlq3PEInbUlpuGZvnZmWnH9r7249spzZTaXteR-d69HHJ-4lDeiGDOZ4UPcSGjrgd6QuSkOV3r2lVzYetU0RPFOoDt/pre2.jpg?width=650)
ELEWA KALENDA YA KUPATA MIMBA
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Benki ya CBA kuuza nyumba za kampuni Avic kwa mikopo ya masharti nafuu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania Bw.Julius Mcharo (katikati) akiwa pamoja na maofisa wa CBA na Avic International Real Estate wakiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) muda mfupi kabla ya kusaini mkataba ambapo CBA itawakopesha wateja wanaotaka kununua nyumba zilizojengwa na kampuni hiyo katika eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi wa Benki ya CBA,Bi.Hyasintha Mwimanzi akiwaleza waandishi wa habari utaratibu wa mkopo wa nyumba...