Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


China yaweka historia ya Tazara kitabuni

Wizara ya Mambo ya Nje ya China imezindua kitabu chenye kurasa zaidi 270 kinachoelezea historia ya ujenzi wa reli ya Tazara inayounganisha nchi mbili, Tanzania na Zambia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Sir Nature aweka historia kitabuni

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Juma Kassim ‘Sir Nature’ amesema yupo katika mikakati ya kuandaa kitabu cha historia ya maisha yake ambayo anatarajia kuisambaza hivi karibuni. Kwa mujibu...

 

10 years ago

Michuzi

YAMOTO BAND YAWEKA HISTORIA BUKOBA

Na Faustine Ruta, Bukoba.BENDI inayokuja kasi hapa nchini, Yamoto Band" kundi la vijana wenye vipaji vipya usiku wa kuamkia leo imefanya kufuru ndani ya Ukumbi wa Burudani wa "Lina's Night Club" uliopo hapa Mjini Bukoba. Ambao waliimba nyimbo zao matata za 'Najuta' ya Yamoto Band na nyingine zinazounda Album zao na kuhudhuriwa na umati wa Mashabiki ndani ya ukumbi huo na kuwafanya mashabiki muda wote kuvamia jukwaa kwa Makamuzi hayo ya kufa Mtu. Yamoto Band ambao ndio kwa mara ya kwanza...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ujerumani yaweka historia Kombe la Dunia, Goetze aizamisha Argentina

Goli la Mario Goetze katika dakika ya 113 jana limeiwezesha Ujerumani kuchukua ubingwa wa Kombe la Dunia kwa mara ya nne katika uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro.

 

10 years ago

Vijimambo

PAZI REUNION YAWEKA HISTORIA HOUSTON, TIMU YA TANZANIA YAIFUNGA GABON 64 KWA 57

Timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania iliyocheza mechi ya mwisho ya kuhitimisha tamasha la Pazi Reunion iliyofanyika siku ya Jumamosi March 14, 2015 na kuhudhuriwa na na Watanzania kutoka kila sehemu ya Marekani.Timu ya Gabon iliyokuja kuunga mkono Pazi Reunion na baadae kucheza mechi ya mpira wa kikapu na timu mchanganyiko ya Tanzania na kufungwa vikapu 64 kwa 57.Mmoja wa waratibu wa Pazi Reunion Vitalis Gunda (kati) akiwashukuru Atiki Matata (kushoto) na Richard Kasesela kwa kuja kushiriki...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA CHINA YAWEKA MASHARTI YA MTU KUPATA MIMBA

KAMPUNI moja nchini China imepanga masharti kwa wafanyakazi wake wa kike ikiwa watataka kupata mimba. Masharti hayo ambayo yamewekwa katika sheria za kampuni hiyo zimezua malalamiko mengi katika mitandao ambapo wanawake wote walio kwenye ndoa lazima wawe wamefanya kazi kwa mwaka mmoja kwenye kampuni hiyo kabla ya kutoa maombi ya kukubaliwa kushika mimba. Kwa mujibu wa masharti hayo, anayekiuka utaratibu huo  na kushika mimba...

 

10 years ago

Mwananchi

Membe aiomba China iiokoe Tazara

>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameiomba Serikali ya China kusaidia kuimarisha ufanisi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara).

 

11 years ago

Habarileo

China yaipa TAZARA magari 100

SERIKALI ya Jamhuri ya watu wa China, imekabidhi awamu ya kwanza ya misaada kwa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) ya magari 10 yakiwemo magari ya winchi manne ya kunyanyulia makontena, vyote vyenye thamani ya Dola za Marekani milioni 70 (Sh bilioni 112).

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza

c5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

Rais Kikwete,...

 

9 years ago

Michuzi

TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya China.Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakielekea kupanda kwenye treni ya kichwa na mabehewa mapya ya TAZARA.Moja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani