Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu kikwazo mapambano ya ukoma

Asilimia 11 ya wagonjwa wa ukoma wanaokwenda hospitali na vituo vya afya kwa uchunguzi na kuanza matibabu, wanakuwa tayari wamepata ulemavu wa kudumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sera, sheria dhaifu, rushwa ni kikwazo katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini

drug injection

 

Mtumiaji wa kujinduga akitumia dawa hizo.

mtumiaji 2

Baadhi ya watumiaji wa dawa za kulevya wakihudhuria moja semina zinazoendeshwa nchini.

Na Damas Makangale, Makangale Satellite Blog

“Kila mwaka idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya nchini hasa kwa vijana wenye umri mdogo kabisa kati ya miaka 15 mpaka 25 inakadiliwa kufika 10,000 hadi 11,000 kila mwaka nchini ni idadi kubwa na hali inatisha,’ anasema Afisa kutoka Kitengo cha Kudhibiti dawa za kulevya nchini, Moza Makumbuli

Wiki iliyopita Kitengo...

 

11 years ago

GPL

ELIMU, MAFANIKIO KIKWAZO KUPATA MKE

MARAFIKI zangu naamini mpo sawa na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku salama kabisa. Kwa upande wangu, mambo ni mazuri na nimejiandaa kikamilifu kuwapatia mada nzuri kila siku kwa ajili ya kuboresha uhusiano wetu. Leo somo letu linafikia ukingoni baada ya kudumu hapa kwa wiki tatu. Kwa bahati mbaya, wiki iliyopita sikuwepo uwanjani, nilipata dharura kidogo. Leo tunaendelea. Nimeshafafanua mengi na kujenga hoja thabiti...

 

11 years ago

Habarileo

'Kukosekana wataalamu wa elimu ya biashara ni kikwazo'

KUKOSEKANA kwa wataalamu wa elimu ya kibiashara kumetajwa kuwa changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo ya biashara nchini. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Vyuo vya Elimu ya Biashara (CBE), Profesa Emanuel Mjema alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CBE tawi jipya la Mbeya hivi karibuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu haikuwa kikwazo katika maisha yangu

Jina la Madaraka Kilangi (52) kwa wenye malori makubwa aina ya Scania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini lipo mdomoni.

 

11 years ago

GPL

ELIMU, MAFANIKIO KIKWAZO KUPATA MKE SAHIHI -2

BILA shaka wapenzi wasomaji wangu mtakuwa wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Kama una mushkeli kidogo, usijali, mambo yatakuwa sawa. Rafiki zangu, naandika mada hii nikiwa hapa Singida. Bado tunaendelea na somo letu ambalo lazima nikiri kuwa lina changamoto nyingi sana katika kuelewa. Ndugu zangu, najua ni somo gumu kidogo kueleweka lakini tutaenda sawa. Subiri hapohapo. Wiki iliyopita...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi awaomba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusu mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

 Kamati ya Uongozi wa Baraza la Wawakilishi ya CCM ikimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mchango wa Shilingi Milioni 50,000,000/-  kwa ajili ya kusaidia vita dhidi ya mapambano ya kukabiliana na Virusi vya Corona Nchini.Kati kati ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh.Zubeir Ali Maulid, Mnadhimu wa Baraza hilo Mh. Ali Salul Haji, Mwakilishi Viti Maalum Kusini Unguja Mh. Salma Mussa Bilal na Mwakilioshi wa Jimbo la Kikwajuni Mh. Salum Jazira.  Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh. Zubeir...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukoma nchini bado tishio

TANZANIA imetajwa kuwa ni miongoni mwa nchi 17 duniani ambazo zipo katika viwango vya juu vya wagonjwa wa ukoma. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alitoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wa ukoma Tanga waomba msaada

KAMBI ya wazee wenye ulemavu wa ukoma iliyopo Msufini Kata ya Ngomeni wilayani hapa, Mkoa wa Tanga inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa vitanda hali inayosababisha kulala chini. Wakizungumza na...

 

11 years ago

Habarileo

Walemavu wa ukoma walalamikia kupewa misaada wakichangishwa

KAYA zaidi ya 70 zenye watu 300 wanaoishi na ugonjwa wa ukoma katika kituo cha Msamaria kilichopo Hombolo Bwawani Manispaa ya Dodoma wamelalamikia baadhi ya wahisani kuwachangisha fedha pindi wanapoletewa misaada. Walitoa kauli hiyo juzi wakati wakipopokea tani moja na nusu za mahindi iliyotolewa bure na Mratibu Mkuu wa Kituo hicho, John Ntandu kwa ajili ya familia hizo .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani