Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walemavu wa ukoma walalamikia kupewa misaada wakichangishwa

KAYA zaidi ya 70 zenye watu 300 wanaoishi na ugonjwa wa ukoma katika kituo cha Msamaria kilichopo Hombolo Bwawani Manispaa ya Dodoma wamelalamikia baadhi ya wahisani kuwachangisha fedha pindi wanapoletewa misaada. Walitoa kauli hiyo juzi wakati wakipopokea tani moja na nusu za mahindi iliyotolewa bure na Mratibu Mkuu wa Kituo hicho, John Ntandu kwa ajili ya familia hizo .

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wa ukoma Tanga waomba msaada

KAMBI ya wazee wenye ulemavu wa ukoma iliyopo Msufini Kata ya Ngomeni wilayani hapa, Mkoa wa Tanga inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa vitanda hali inayosababisha kulala chini. Wakizungumza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walemavu walalamikia Operesheni Safisha Jiji

KIONGOZI wa Taasisi ya Haki za Binadamu Maendeleo ya Kiuchumi ya Walemavu (HREDP), Abubakar Rakesh, ameilalamikia Operesheni Safisha Jiji inayoendelea kwa kuwaondoa walemavu bila kuwapangia sehemu maalumu ya kwenda kufanyia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waathirika Bulembo walalamikia misaada kufungiwa

WANANCHI ambao nyumba zao zimeanguka, kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali, wameulalamikia uongozi wa Kijiji cha Bulembo, Kata ya Ibuga, Wilaya ya Muleba, Kagera...

 

11 years ago

GPL

FARIDA FOUNDATION WAMWAGA MISAADA KWA WATOTO WALEMAVU

Msanii Kelvina aliyealikwa kwenye hafla hiyo. Walimu wa wanafunzi walemavu wakipata maakuli. Watoto wakipata msosi.…

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Kairuki Atoa Misaada Vituo vya Watoto Yatima na Walemavu Same


Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji ,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye ulemavu akikabidhi baadhi ya misaada katika kituo cha kulelea watoto yatima kama picha inavyoonekana
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji ,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye ulemavu
Waziri Angela Kairuki akikabidhi vifaa mbalimbali kwa watoto pamoja pampers na sabuni pamoja na vyakula katika...

 

11 years ago

Michuzi

FARIDA FOUNDATION YATOA MISAADA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA NA KWA WALEMAVU ENEO LA UBUNGO DARAJANI

 Bi Farida Abdul Akikabidhi bandeji kwa ajili ya kufungia wagonjwa kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle  Bi Farida Abdul akimuonyesha kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle Vifaa ambavyo vimeletwa kama msaada kwenye Hospitali hiyo.Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na Viti vya magurudumu vitatu ambavyo vitasaidia kubebea wagonjwa,Bandeji za kufungia vidonda,Ndoo za kuwekea taka,na vinginevyo.  Hivi ni viti Vitatu vya kubebea...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU

MOROGORO,
Kampuni ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant Pierce, ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU

 Waziri  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavumwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward BagandashwaKamishina  wa ustawi  wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zakeWalemavu  nchini  wakiwa katika maandamano  leo  wakati wa kilele  cha siku ya  walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika  mkoa  wa Iringa,kushoto ni mkalimani  wa  kujitolea  ambae ni Mtangazaji wa radio  Nuru Fm Bw ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukoma nchini bado tishio

TANZANIA imetajwa kuwa ni miongoni mwa nchi 17 duniani ambazo zipo katika viwango vya juu vya wagonjwa wa ukoma. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani