Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ELIMU YA TANZANIA NI BORA, ASEMA JK

Rais Jakaya Kikwete
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamRAIS Jakaya Kikwete amesema madai kuwa elimu inayotolewa Tanzania ni duni ni potofu kwani wahitimu wake wanakubalika duniani.
Akihutubia Mkutano Mkuu wa Nane wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam, Rais Kikwete alisema badala yake, tatizo liko kwenye kuwaandaa wahitimu kukidhi matakwa ya soko la ajira la ndani na la kimataifa.
“Elimu yetu ni bora na inakubalika popote duniani...wahitimu wanaweza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI 'IMPERIAL' KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA‏

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akipokelewa na Mabalozi wa shule ya sekondari ya Imperial wakati alipowasili kwenye banda la shule hyo jana na kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa Mkuu wa shule hiyo na waalimu. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akiingia katika banda la shule ya sekondari Imperial.… ...

 

9 years ago

Bongo5

Jose Mourinho asema hakuna bora kama yeye

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesisitiza kuwa yeye ni bora kushinda yeyote yule katika kuifunza klabu hiyo licha kupoteza mechi tatu mfululizo katika msimu huu. Baada ya kichapo hicho cha mabao 3-1 dhidi ya Everton ,Mourinho alisema kuwa watu wengi sasa wanafurahia janga lake. “Haya ni matokeo mabaya zaidi katika kazi yangu,” alisema Mourinho. “Sijazoea […]

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu bora inawezekana Serikali ikiamua

Baada ya matokeo ya Mtihani ya Darasa la Saba mwaka 2011 kutangazwa, mengi yalizungumzwa hasa baada ya kubainika kuwa zaidi ya wanafunzi 5,200 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza walikuwa hawajui kusoma wala kuandika.

 

11 years ago

Mwananchi

Nanai: Wapeni elimu bora watoto

Wazazi na walezi nchini wameshauriwa kuhakikisha wanawapatia elimu bora watoto wao kwa kuwa ni taifa la kesho.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu bora inahitaji mazingira salama

MAENDELEO ya taifa hupimwa kwa ubora wa elimu na taasisi zilizo chini yake, msingi imara wa elimu ni chachu ya mafanikio hasa kwa vijana.

Inapozungumziwa elimu bora si utoaji wa vitabu na madawati pekee katika shule, bali hata mazingira ya kusomea huongeza mafanikio ya elimu na kukuza maarifa.

Kwa kutambua hamasa hiyo ya mazingira mazuri ya kujifunzia kampuni ya AAR Health Care inayotoa huduma ya afya nchini imeandaa utaratibu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa mazuri kuanzia katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAS walilia afya, elimu bora

CHAMA cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (TAS) Mkoa wa Mwanza, kimeiomba serikali kuipatia jamii hiyo huduma bora za afya na elimu, ikiwemo ofisi za kuendesha shughuli zao. Ombi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani