Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EPZA yashawishi China kuwekeza nchini

Wawekezaji kutoka nchini China wameshawishiwa kuwekeza katika maeneo ya Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) yaliyotengwa kwa ajili hiyo katika mikoa mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA yashawishi China maeneo ya uwekezaji

WAWEKEZAJI kutoka China wameshawishiwa kuwekeza katika maeneo ya Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) ambayo yameshatengwa kwa ajili hiyo katika mikoa mbalimbali. Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, Dk. Adelhelm...

 

10 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA UONGOZI WA MAKAMPUNI YA CHINA YANAYOTAKA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA RELI NCHINI TANZANIA

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha mchoro wa reli ya Kati inayotarajiwa kujengwa upya na kwa viwango vya kisasa wakati alipokutana na uongozi wa juu wa makampuni ya China yakiongozwa na China Railway Group Ltd. Makampuni mengine ni SINOSURE, Exim Bank, China Development Bank na China Agriculture Development Bank. Rais Dkt. Kikwete yuko nchini China kwa ziara rasmi ya kikazi (State Visit).Rais Dkt. Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

CHINA KUWEKEZA BAGAMOYO

Na John Gagarini, BagamoyoJIMBO la Jilin nchini China limekubali kuwekeza hapa nchini kwenye eneo la Uwekezaji la (EPZ) la Kamal lililopo Kijiji cha Kerege kwa Kikwete wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Uwekezaji huo utafanyika baada ya ujio wa baadhi ya viongozi wa Jimbo hilo kutembelea maeneo mbalimbali ya uwekezaji wilayani humo na kuonekana kuvutiwa na sehemu hiyo.
Akizungumza jana mara baada ya kutembelea maeneo kadhaa akiongozana na mkuu wa mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na sekretarieti ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

WWF kuwekeza nchini

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF) limeamua kuwekeza nchini, ili maliasili zilizopo ziweze kuwanufaisha wananchi na serikali. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi katika uzinduzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawekezaji 65 kuwekeza nchini

ZAIDI ya wawekezaji 65 wanatarajiwa kuja nchini kuwekeza katika sekta mbalimbali za maendeleo ikiwemo viwanda na utalii. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alibainisha hayo...

 

11 years ago

Michuzi

pinda akutana na viongozi wa kampuni ya AVIC Group China Civil Aviation inayotaka kuwekeza ATCL

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na viongozi wa  wa Kampuni ya China ya  AVIC Group China  Civil Aviation inayokusudia kuwekeza katika kampuni ya  Ndgege ya ATCL, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI NA MHE. MASELE WAZUNGUMZA JUU YA MKUTANO WA JUKWAA LA VIONGOZI VIJANA AFRIKA NA CHINA

Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Dr. Lu Youqing akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  juu ya mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, jijini Arusha.Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira),Mhe. Stephen Masele.Balozi wa China hapa nchini, Mhe. Dr. Lu Youqing akipeana mkono na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais...

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI WASISITIZWA KUWEKEZA KATIKA MIRADI YA GESI NCHINI

Mwandishi wa kitabu kinachoelezea namna watanzania na makampuni ya usambazaji ya hapa Tanzania yanavyoweza kushiriki, kuwezeshwa na kunufaika na sekta ya nishati ya gesi asilia hapa.Bi. Neema Lugangilra Apson akielezea maudhui ya Kitabu chake kwa wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kitabu chake jana usiku jijini Dar es Salaam.  Mgeni Rasmi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu kinachoeleza namna watanzania na makampuni ya...

 

11 years ago

Habarileo

Paras India yaonesha nia kuwekeza afya nchini

UJUMBE wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana ambapo pamoja na mambo mengine umeanza mchakato kuwekeza katika sekta ya afya. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa Hospitali hizo anayehusika na Uhusiano wa Kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani