Eq Guinea president in Afcon giveaway
Equatorial Guinea president Teodoro Obiang Nguema pays for 40,000 tickets for fans to attend the Nations Cup.
BBC
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Guinea ya Ikweta wenyeji wa Afcon 2015
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeitangaza Guinea ya Ikweta kuwa mwenyeji wa Fainali za Afrika 2015 baada ya Morocco iliyokuwa imepewa nafasi hiyo kujitoa kwa kuhofia ugonjwa wa Ebola
10 years ago
BBCSarr turns down Afcon chance with Guinea
Metz midfielder Bouna Sarr turns down the chance to play for Guinea at the 2015 Africa Cup of Nations in Equatorial Guinea.
10 years ago
GPLEQUATORIAL GUINEA MWENYEJI AFCON 2015‬
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeitangaza Equatorial Guinea kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2015 baada ya Morocco kukataa kuandaa michuano hiyo kwa hofu ya kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola. CAF imeiondoa kabisa Morocco katika timu zitakazoshiriki na sasa nafasi yake inachukuliwa na Equatorial Guinea ambayo mwaka 2012 iliandaa mashindano hayo kwa kushirikiana na Gabon. ...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
MKONO WA BAHATI: Uamuzi ulioibeba Guinea Afcon
Kuondolewa kwa Guinea/Mali kwenye hatua ya robo fainali ya Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2015, kumewashangaza wengi wakiwamo viongozi wa Afrika.
10 years ago
GPLTASWIRA ZA VURUGU ZA MASHABIKI WAKATI WA MECHI YA NUSU FAINALI AFCON KATI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA
Helkopta ya polisi ikijaribu kutuliza ghasia wakati wa mechi kati ya Ghana na wenyeji Equatorial Guinea jana. Wachezaji wa Ghana wakitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali baada ya vurugu kutokea.…
10 years ago
Vijimambo06 Feb
GHANA 3-0 EQUATORIAL GUINEA AFCON 2015 GHANA KUCHEZA NA IVORY COAST FINAL JUMAPILI.
wachezaji wa Ghana wakishangilia ushindi na kutinga fainali baada ya kuwakunja wenyewe Equatorial Guinea 3-0 kwaiyo sasa Ghana kukutana na Ivory Coast tarehe 8 kwenye fainali. Baada ya kipenga cha mwisho wenyewe wa mashindano hayo ya AFCON walikuwa wamekubali kipigo cha magoli matatu ndipo washabiki walivyoanzisha timbwili hili uwanjani hapo.Hali ilionekana siyo shwari toka kipindi cha kwanza pale Ghana walivyo pewa penati ya mapema hii hapa ilikuwa baada ya dk 45 za kwanza washabiki...
11 years ago
BBCE Guinea president's son faces probe
The son of Equatorial Guinea's leader is put under formal investigation in France over money-laundering allegations, his lawyer says.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania