EQUITY BANK; KUTANA NA BENKI INAYOTEMBEA!
![](http://api.ning.com:80/files/nc61tuPNc3Nz0RYK1YT8OowcHrLslLU8y6sxMLHPv70mcJOn73wLUJQP1GvaFtmmF6ZLVJTxq6iwR*DS04*A9Bem0uBtpR9Q/equity.jpg?width=650)
Makala: Joseph Shaluwa MAMBO yanakwenda yakibadilika. Ubunifu kwenye biashara ni jambo lenye msingi sana katika nyakati hizi za soko la ushindani. Hata hivyo, wataalam wa uchumi duniani wanashauri kuwa, wakati watu wa masoko wakibuni mambo muhimu ya kuboresha huduma zao wanapaswa kujali muda wa mteja ambao kwa hakika ndiyo chachu ya kupandisha uchumi. Zamani ilikuwa benki unakwenda na kitabu, unapanga foleni ndipo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen04 Nov
Bank profit up by 231pc in one year : Equity CEO
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Equity benki yaja na ‘Eazzy 24/7’
KATIKA kupanua wigo wa kibiashara, Benki ya Equity Tanzania imezindua rasmi huduma ya benki kwa kutumia simu za mkononi ijulikanayo kama ‘Eazzy 24/7’. Eazzy 24/7 inayopatikana kupitia mitandao yote ya...
5 years ago
MichuziBENKI YA EQUITY KUTOA MIKOPO YA MAJI KWA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yZ-qbTWMN4M/XvB6veGemlI/AAAAAAALu5M/qJxtOsimPD8PLmaw8W0ltBCMKCJOMC4CwCLcBGAsYHQ/s72-c/800x800_5304470ddd432.jpg)
TAARIFA YA KUUNGANA KWA BENKI YA NIC TANZANIA NA BENKI YA COMMECIAL BANK OF AFRICA TANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-yZ-qbTWMN4M/XvB6veGemlI/AAAAAAALu5M/qJxtOsimPD8PLmaw8W0ltBCMKCJOMC4CwCLcBGAsYHQ/s200/800x800_5304470ddd432.jpg)
Kibali cha kuungana kutoka kwa mamlaka husika tayari vimeshapokelewa
Benki ya NIC Bank Tanzania Limited (NIC) na benki ya Commercial Bank of Africa (Tanzania) Limited (CBA) imeshapokea vibali vyote kuungana na kuanza kutoa huduma kuanzia tarehe 8 mwezi Julai mwaka 2020 kama benki ya NCBA Bank Tanzania Limited.
Uunganaji utafanyika kwa...
9 years ago
Michuzi27 Sep
Benki ya Afrika(BOA Bank) yapigia chapuo matumizi bora ya mikopo
Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Afrika, Bw. Mussa Mwachaga amesema mwishoni mwa juma wakati akikabidhi msaada wa Tsh. milioni 10 kwa shule ya Sekondari ya Baobab kuwa uaminifu katika kurejesha mikopo huleta maendeleo ya haraka kwa watu binafsi na taasisi mbalimbali.
“Hili...
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AFARIJIKA NA HATUAZA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO KATIKA BENKI YA WALIMU (MWALIMU COMMERCIAL BANK)
Rais ametoa kauli hiyo Ijumaa Juni 5, 2020 wakati akihutubia mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.“Najua chama hiki kina mali na rasilimali mbalimbali, lakini zote hizo ni mali za wanachama hivyo basi viongozi hawana budi kuhakikisha mali na rasilimali za...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zLgY_Uq-Ajg/XsPNeXDkutI/AAAAAAALqxM/Y35RBqdzE24S0eX37-wvipDMXnP06hJ_ACLcBGAsYHQ/s72-c/cba2.jpg)
Benki ya CBA (Commercial Bank of Africa (Tanzania) yatoa msaada wa Matanki ya Maji kwa Hospitali za Umma jijini Dar es salaam.
Akikabidhi mchango huo Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA, Gift Shoko amesema msaada huo ni sehemu ya hatua zilizochukuliwa na CBA kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na kusambaa kwa COVID-19 nchini Tanzania.
"Commercial...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f2WY1amni9U/U8zV237URoI/AAAAAAAF4TA/Fsqi-aiK1aA/s72-c/unnamed+(22).jpg)
5 years ago
MichuziBenki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...