Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ethiopia: Uchaguzi waingia siku ya pili

Uchaguzi nchini Ethiopia umeingia siku yake ya pili katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HALI TETE, MGOMO WA MADEREVA WAINGIA SIKU YA PILI LEO

Taswira nzima ya mabasi yaendayo mikoani katika Stendi ya Ubungo. MGOMO wa madereva umeingia siku ya pili leo baada ya kuanza jana asubuhi huku wakazi mbalimbali wakiwemo wa jijini Dar wakilazimika kutembea kwa mguu kwenda kwenye maeneo yao ya kufanyia shughuli za kila siku. Wananchi wakiwa wametaharuki katika eneo la Ubungo kutokana na mgomo unaoendelea. Mitaa mbalimbali… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa 'Connect 2 Connect' Waingia Siku ya Pili Tanzania

Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania. Mijadala mbalimbali ikiendelea ndani ya siku ya pili ya mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect' unaoshirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, pamoja na wawakilishi wa taasisi binafsi zinazotoa huduma za mawasiliano na zinazotengeneza vifaa vya mawasiliano unaofanyika nchini Tanzania.Ofisa Biashara wa Mkongo wa Taifa kutoka TTCL, Ian Mawala (kushoto) akifanya mazungumzo kubadilishana uzoevu na mmoja wa wadau wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, katika mkutano wa Kimataifa wa 'Connect 2 Connect'. Ofisa Biashara wa Mkongo wa Taifa kutoka TTCL, Ian Mawala (kushoto) akifanya mazungumzo kubadilishana uzoevu na mmoja wa wadau wa masuala ya mawasiliano barani Afrika, katika...

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI

Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.Hali ya kushtusha imetokea katika uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Migombani  baada ya Afisa Mtendaji  kufika  na kutangaza kimyakimya Kuwa UChaguzi huo umesitishwaMara baada ya wakazi wa mtaa wa migombani kusikia ndipo walipoanza sasa kutafuta mchawi na kumtia nguvuni afisa mtendaji huyo wa mtaa kwa kutaka kujua sababu za msingi zinazopelekea yeye kuja kutangaza kusitisha uchaguzi huo.Afisa mtendaji huyo baada ya kuulizwa sababu za msingi alijitetea kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI

Wakazi wa Mtaa wa Migombani, Uliopo Katika kata ya Segerea Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam wakiwa wamelizunguka gari la Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea aliyefika majira ya saa tisa kamili mchana huu na kutangaza kusitisha uchaguzi wa serikali ya mitaa kimya kimya.Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea (katikati mwenye shati la draft) akiwa kawekwa mtukati mara baada ya kuja na kutaka kusitisha uchaguzi bila sababu ya msingi. waliomzunguka ni wakazi wa mtaa wa segerea wakimuhoji afisa...

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI MARA BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI‏

Wakazi wa Mtaa wa Migombani, Uliopo Katika kata ya Segerea Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam wakiwa wamelizunguka gari la Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea aliyefika majira ya saa tisa kamili mchana huu na kutangaza kusitisha uchaguzi wa serikali ya mitaa kimya kimya. Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea (katikati mwenye shati la draft) akiwa kawekwa mtukati mara baada ya kuja na kutaka kusitisha uchaguzi bila sababu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi TBF waingia dosari

WAKATI Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), likitangaza kufanyika kwa uchaguzi wake mkuu Desemba 28 mwaka huu mjini Dodoma, makocha wa mchezo huo wameibuka na kuliomba Baraza la Michezo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi India waingia hatua muhimu

Uchaguzi wa India, taifa lenye demokrasia kubwa zaidi dunia unaingia hatua muhimu kwa uchaguzi wa majimbo muhimu ikiwemo Delhi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro wa maiti Moshi waingia siku ya 43 leo

Mgogoro wa kifamilia kuhusu mwenye haki ya kuzika mwili wa Rosemary Marandu (38), umeingia siku ya 43 leo, huku ukiendelea kuhifadhiwa Hospitali ya Rufaa ya KCMC.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani