Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU yatoa msaada wa magari TaCRI

JUMUIYA ya Umoja wa Ulaya, (EU), imetoa msaada wa magari saba kwa taasisi ya utafiti wa zao la Kahawa nchini, (TaCRI), yenye thamani ya sh. milioni 631.9. Aidha, hatua hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yatoa Msaada wa Magari ya Kiusalama kwa Polisi Arusha

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Mauaji ya Halaiki ya Rwanda (UN-ICTR) iliyo na makao yake makuu mjini Arusha leo imetoa msaada wa magari mawili ya kiusalama (Amoured Cars) kwa jeshi la polisi mkoani Arusha ili kuimarisha shughuli zake za kiusalama mkoani hapo. 
Magari hayo ni baadhi ya yale yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za usalama kubebea watuhumiwa au watu nyeti,na mahakama hiyo inatarajiwa kumaliza shughuli zake mwakani. 
Magari hayo ni yale yaliyoimarishwa kiusalama...

 

11 years ago

Michuzi

JAPAN YATOA MSAADA WA MAGARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kulia) akipokea ufunguo ikiwa ishara ya kukabidhiwa magari matano kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakati wa tafrija fupi ya makabidhiano ya magari hayo kutoka Serikali ya Japan kwa ajili ya kusaidia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika majukumu yake ya kuzima moto na uokoaji nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya Kituo cha Zimamoto Kanda ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara,...

 

11 years ago

Michuzi

JK APOKEA MSAADA WA MAGARI 11 YA KUKABILIANA NA UJANGILI LEO


Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kushukuru msaada magari 11 ulioyatolewa na Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili katika hifadhi za Serengeti, Selous na Maswa. Rais Jakaya Kikwete wa pili kushoto akipata maelezo kuhusu msaada wa magari 11 kutoka kwa Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir (katikati)na kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel katika...

 

10 years ago

Mwananchi

TBS yatoa tahadhari kwa waagizaji magari

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limetoa tahadhari kwa waagizaji wa magari kutoka Japan na Falme za Kiarabu kuzingatia sharti la ukaguzi wa magari husika kabla hawajayaingiza nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TaCRI yapongeza kufufua kahawa

MKUU wa Wilaya ya Moshi, Dk. Ibrahimu Msengi, ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kahawa nchini (TaCRI) kwa jitihada zake inazofanya kwa kushirikiana na halmashauri za wilaya nchini  kufufua zao la...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UENGEREA

Na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar
Shirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uengereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
 Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi. Maradhi hayo ni pamoja na...

 

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UINGEREZA

Na Makame Mshenga- Maelezo ZanzibarShirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uingereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
 Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi. 
Maradhi hayo ni pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA - JAPAN WAPOKEA MSAADA WA MAGARI YA HUDUMA ZA AFYA NA ZIMAMOTO

Balozi wa Tanzania nchini Japan,Mhe. Salome Sijaona amepokea msaada wa magari mawili ya kubeba wagonjwa (Ambulance) na moja la zimamoto yaliyotolewa na mji wa Ibaraki, Japan kwa Serikali ya Tanzania ambao ni msaada kwa Tanzania katika kuboresha huduma za afya na kukabiliana na majanga ya moto.Balozi wa Tanzania nchini Japan,Mh. Salome Sijaona akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Meya wa Mji wa Ibaraki nchini Japan, Yasuhira Kimoto wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya magari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani