UBALOZI WA TANZANIA - JAPAN WAPOKEA MSAADA WA MAGARI YA HUDUMA ZA AFYA NA ZIMAMOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-OpNsz0ijIn0/VOWUKi4OvVI/AAAAAAAHEcc/pVOlhHX7xpE/s72-c/Untitled.png)
Balozi wa Tanzania nchini Japan,Mhe. Salome Sijaona amepokea msaada wa magari mawili ya kubeba wagonjwa (Ambulance) na moja la zimamoto yaliyotolewa na mji wa Ibaraki, Japan kwa Serikali ya Tanzania ambao ni msaada kwa Tanzania katika kuboresha huduma za afya na kukabiliana na majanga ya moto.Balozi wa Tanzania nchini Japan,Mh. Salome Sijaona akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Meya wa Mji wa Ibaraki nchini Japan, Yasuhira Kimoto wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya magari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6dOPOv9pSxY/Uz8RmgdVMnI/AAAAAAAFYo4/I_mpUjPENeM/s72-c/unnamed+(12).jpg)
JAPAN YATOA MSAADA WA MAGARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-6dOPOv9pSxY/Uz8RmgdVMnI/AAAAAAAFYo4/I_mpUjPENeM/s1600/unnamed+(12).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m8HHUCX5mjU/VRUScqpKWdI/AAAAAAAHNkc/nIb26zImoTI/s72-c/UntitledJ1.png)
MIJI YA JAPAN YAZIDI KUITIKIA WITO WA UBALOZI NA KUTOA MISAADA ZIADI YA MAGARI YA HUDUMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-m8HHUCX5mjU/VRUScqpKWdI/AAAAAAAHNkc/nIb26zImoTI/s1600/UntitledJ1.png)
11 years ago
Habarileo04 Apr
Japan yakabidhi magari 5 ya zimamoto
SERIKALI kupitia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, limepokea magari matano ya zimamoto, yaliyotolewa na Chama cha Zimamoto cha Japan. Magari hayo yalikabidhiwa jana nchini na Balozi Masaka Okada kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SsWOYbsWrHg/VDjRxyQusCI/AAAAAAAGpGY/dYaalfrhr9Y/s72-c/2-987340de94.jpg)
Ubalozi Wa Tanzania Japan Waipaisha Kahawa Kilimanjaro Kwenye Treini Ziendazo Kasi Japan
![](http://1.bp.blogspot.com/-SsWOYbsWrHg/VDjRxyQusCI/AAAAAAAGpGY/dYaalfrhr9Y/s1600/2-987340de94.jpg)
5 years ago
MichuziWORLD VISION TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA KUWAKINGA NA CORONA WATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA
Shirika la World Vision Tanzania limetoa msaada wa vifaa tiba na kinga vyenye thamani ya shilingi milioni 29 kwa ajili ya kusaidia watumishi wa sekta ya afya katika mkoa wa Shinyanga kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona ‘Covid 19’ wanapohudumia wagonjwa.
Vifaa hivyo vimekabidhiwa leo Ijumaa Mei 8, 2020 na Meneja wa World Vision Tanzania Kanda ya Ziwa John Massenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Massenza alisema wao kama...
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UENGEREA
Shirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uengereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi.
10 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UINGEREZA
Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi.
Maradhi hayo ni pamoja na...
5 years ago
MichuziMBUNGE WA CCM AZZA HILAL ATOA MSAADA WA NGAO ZA USO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA KUJIKINGA NA CORONA
Mhe. Azza amekabidhi Ngao hizo za uso leo Ijumaa Mei 8,2020 wakati akikabidhi gari la kubebea Wagonjwa ‘ Ambulance’ lililotolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto...
9 years ago
StarTV25 Nov
Muhimbili wapokea msaada wa vifaa tiba kutoka UNICEF
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dokta Donan Mbando amepokea vifaa tiba vyenye thamani ya dola za kimarekani laki moja sawa na shilingi milioni mia mbili na tatu za kitanzania kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.
Vifaa hivyo vimetolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam kwa ajili ya kupunguza vifo vya watoto takribani elfu moja ambao hufa kila mwaka kulingana na Takwimu za Wizara ya Afya.
Akipokea msaada huo jengo la watoto katika...