Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU:Junker kutawazwa kama rais mpya

Viongozi wa muungano wa ulaya kumtawaza aliyekuwa waziri mkuu wa LuxembourgJean-Claude Junker kama rais wa tume ya ulaya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Rais Kikwete ashuhudia kutawazwa kwa Chifu Mkwawa mpya mwenye umri wa miaka 14

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Februari 16, 2015, ameungana na mamia ya waombolezaji kumlaza katika nyumba yake ya milele, Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa.Aidha, Rais Kikwete ameshuhudia kutawazwa kwa Chifu mpya, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili, kijana wa miaka 14, ambaye yuko darasa la saba na ambaye anachukua nafasi ya baba yake ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015.Mtwa Adam wa...

 

5 years ago

Bongo5

Nyimbo mpya za Darassa tumeziandaa kama tunamwandaa Rais wa nchi – Hanscana

Mashabiki wengi wa muziki nchini wanataka kujua Rapa Darassa ambaye yuko chimbo atakuja na wimbo gani baada ya hit single yake ‘Muziki’.

Darassa bado yupo kwenye tour yake ya kimatifa nchini Rwanda na Burundi na baada ya hapo ataachia kazi yake mpya.

Akiongea na Bongo5, muongozaji wa video nchini, Hanscana ambaye ni meneja wa Darassa, amefunguka kuzungumzia ujio wa rapa huyo baada ya ‘Muziki’.

“Sisi tumejiandaa vizuri kwa sababu tunajua mashabiki wanataka nini,” alisema Hanscana....

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KULIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaamBalozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla qkihutubia kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete

Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu

Vicent Kigosi “Ray”...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga kutawazwa mabingwa Mei 6

Waziri ,Dr. Fennela Mukangara atakabidhi Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Mei 6 mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maaskofu wanawake kutawazwa Uingereza

Kanisa la England linatarajiwa kupititsha rasmi sheria itakayo waruhusu maaskofu wa kike kuteuliwa kwanzia mwaka ujao.

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye  leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

9 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yazuia kutawazwa kwa malkia mtoto

Mpango wa kundi moja la kikabila nchini Afrika Kusini lenye makao yake mkoani Limpopo wa kumfanya msichana mdogo wa miaka 10 kuwa malkia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani