Nyimbo mpya za Darassa tumeziandaa kama tunamwandaa Rais wa nchi – Hanscana
Mashabiki wengi wa muziki nchini wanataka kujua Rapa Darassa ambaye yuko chimbo atakuja na wimbo gani baada ya hit single yake ‘Muziki’.
Darassa bado yupo kwenye tour yake ya kimatifa nchini Rwanda na Burundi na baada ya hapo ataachia kazi yake mpya.
Akiongea na Bongo5, muongozaji wa video nchini, Hanscana ambaye ni meneja wa Darassa, amefunguka kuzungumzia ujio wa rapa huyo baada ya ‘Muziki’.
“Sisi tumejiandaa vizuri kwa sababu tunajua mashabiki wanataka nini,” alisema Hanscana....
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini… – Hanscana
Mtayarishaji wa video za muziki nchini ambaye kwa sasa anafanya kazi pamoja na rapa Darassa, Hanscana, amefunguka kuzungumzia ujio mpya wa rapa huyo ambaye bado anafanya vizuri kupitia hit single yake ‘Muziki’.
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Hanscana amedai Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu, lakini ameshindwa kutokana ratiba za show za kimataifa kumbana.
“Kusema kweli alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini show za Rwanda na Burundi zimembana sana, amekuwa na tour ndefu sana...
9 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
EU:Junker kutawazwa kama rais mpya
9 years ago
Bongo529 Dec
Hanscana akwamisha kutoka kwa ngoma mpya ya Temba
![Temba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Temba-300x194.jpg)
Temba amedai kuwa Hanscana ndiye aliyesababisha kuharibika kwa ratiba yake ya kuachia video ya wimbo wake mpya, Fundi.
Rapa huyo ambaye miezi michache iliyopita aliwaahidi mashabiki wake kuachia wimbo ‘Fundi’ aliyowashirikisha Yamoto Band na Jokate, ameimbia Bongo5 kuwa kazi hiyo haitoweza kutoka tena mwaka huu.
“Nimeshindwa kutoa ngoma kwa sababu nilipanga kutoa audio na video lakini director Hanscana akawa amesafiri South Africa kwa short project, lakini akakaa mwezi mmoja na nusu ndio...
9 years ago
Bongo517 Nov
Hanscana ataja gharama ya video mpya ya Avril ‘ No Stress’ na mtu aliyewakutanisha
![Avril bts](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Avril-bts-300x194.jpg)
Video mpya ya Avril wa Kenya aliyomshirikisha AY ‘No Stress’ iliyoongozwa na director wa Tanzania, Hanscana imepata mapokezi mazuri kutoka kwa mashabiki wa muziki walioisifia toka siku ya kwanza ilipowekwa Youtube November 15, 2015.
Uzuri na ubora wa video hiyo umebebwa na uwezo na ubunifu wa director na timu nzima iliyohusika, pamoja na bajeti ya kuridhisha iliyotumika katika kuandaa video hiyo iliyoshutiwa Dar.
Hanscana ameiambia Bongo5 kuwa video pekee, kwa maana ya ku-design location,...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wQBo6DQkfVg/VPcSdzH5RRI/AAAAAAAAuEk/Cbz_SUiqFII/s72-c/Nasib.jpg)
HII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wQBo6DQkfVg/VPcSdzH5RRI/AAAAAAAAuEk/Cbz_SUiqFII/s640/Nasib.jpg)
10 years ago
Bongo502 Jan
Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’
9 years ago
Bongo517 Nov
New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’
![avril](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/avril-300x194.jpg)
Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.
Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya
![skylight band 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band-2.jpg)
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.
![skylight band](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/skylight-band.jpg)
Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...