Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EWURA YAPATA TUZO MDHIBITI BORA WA NISHATI 2015

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi akizungumza na waandishi wa habari juu ya tuzo waliopata Dubai katika udhibiti wa Nishati iliofanyika Ofisi za EWURA,  leo  jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mhandisi wa Umeme EWURA, Anastas Mbawalla. Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi akionyesha kitabu cha kinachofafanua masuala ya mikataba katika sekta ya Nishati ambacho Mtaalam wa Mhandisi wa Umeme, Anastas Mbawalla (kushoto)alishiriki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ewura yajinyakulia tuzo ya mdhibiti bora

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeibuka mshindi wa tuzo ya mdhibiti bora wa nishati barani Afrika kwa mwaka 2015 huku ikieleza kuwa hatua hiyo itawavutia wawekezaji kuja kuwekeza nchini.

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Nishati na Madini yapata tuzo ya Kimataifa

Na Teresia Mhagama  Wizara ya Nishati na Madini imepata Tuzo ya Ki¬mataifa ya mwaka ya Maende¬leo ya Udhibiti wa Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi. Tuzo hiyo ya mwaka 2014 inayotolewa na Kampuni ya Kimataifa ya Wildcat International, ya nchini Marekani kupitia machapisho yake maarufu Duniani ya The Oil & Gas Year (TO&GY), imekabidhiwa rasmi jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene ambaye alipokea Tuzo hiyo kwa niaba ya Wizara.  Tuzo hiyo, iliyotolewa na Mratibu...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAPATA TUZO YA NSSF YA MWAJIRI BORA

 Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cavin O'Flaherty (wa pili kulia), akipokea tuzo ya mwajiri bora wa kwanza katika idara ya matekelezo ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Bw. Chieldrick Komba, Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni Meneja wa Huduma za TBL, Alois Maleck Qande (wa pili kulia), Afisa Uhusiano Doris Malulu (kulia) na baadhi ya maofisa wa NSSF (waliosimama kushoto. Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya...

 

10 years ago

GPL

TBL YAPATA TUZO YA NSSF YA MWAJIRI BORA‏

 Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cavin O'Flaherty (wa tatu kulia), akipokea tuzo ya mwajiri bora wa kwanza katika idara ya matekelezo ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Bw. Chieldrick Komba, Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni Meneja wa Huduma za TBL, Alois Maleck Qande (wa pili kulia), Afisa Uhusiano Doris Malulu (kulia) na baadhi ya maofisa...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAPATA TUZO YA KUWA MWAJIRI BORA NCHINI AFRIKA YA KUSINI

-Inaongoza katika sekta ya mawasilianoKampuni ya mawasiliano ya Vodacom imepata tuzo ya kuwa mwajiri bora katika sekta ya mawasiliano pia ipo miongoni mwa makampuni kumi bora yanayotoa ajira na kuwa na mazingira bora kwa wafanyakazi wake nchini Afrika ya Kusini kwa mwaka 2015.Hafla ya kutangaza makampuni yanayoongoza kwa ajira nchini Afrika ya Kusini ilifanyika jana katika eneo la Gallagher Estate mjini Jahannesburg ambapo Vodacom ilitangazwa kuwa miongoni mwa makampuni 10 bora yanayoongoza...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE


unnamedBalozi wa PSPF Bw.Mrisho Mpoto alionesha tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) kwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa ajili ya kwa  kutumiaTeknolojia ya Habari na Mawasilino katika utunzaji wa kumbukumbu za wateja na kwa kuwasiliana na wateja wake kwa kutumia simu za mikonono, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu.

 

10 years ago

Michuzi

tatu bora ya Tuzo za Watu 2015

Tuzo za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam.  Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.
Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele.
Kila mshindi atapokea tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.
Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati

Mtaalamu kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Nyaso Makwaya akisisitiza jambo wakati alipokuwa  akiwasilisha mada kuhusiana na mikakati ya Wizara katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

 Na Greyson Mwase, MorogoroWizara ya nishati na madini inatarajia kuanzisha mpango wa taifa wa matumizi bora ya nishati  unaotarajiwa kuanza kutekelezwa mara baada ya maandalizi yake kukamilika.Akizungumza katika  kongamano la mabadiliko ya tabianchi...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Biashara Zanzibar Nd. Mohamed Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Media Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Hall  Bwawani Mjini Zanzibar. Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdillahi akimkabidhi Tunzo ya Video bora mwaka ya Taraab Bi. Saada Nassor Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh'd (kushoto) akimkabidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani