FA CUP KUENDELEA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-C_cA2GNaDS0/VnADYdVBIhI/AAAAAAAIMjw/0Ktymb1hmB4/s72-c/asfcdraw.png)
Michezo ya mzunguko wa pili wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inaendelea leo katika viwanja vitatu tofauti, huku kila timu ikisaka ushindi na kuweza kusonga katika hatua inayofuata itakayochezwa mwakani Januari, 2016 na bingwa kuwakilisha nchi mwaka 2017 katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika (CC).
Leo katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam, African Lyon watawakaribisha Ashanti United, mjini Tabora Polisi Tabora watacheza dhidi ya Rhino Rangers na uwanja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Jul
Kagame Cup kuendelea kutimua vumbi leo
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-inRf95GZ2DA/VnlCXlAIb7I/AAAAAAAIN4s/24yyW6BiG-I/s72-c/facup.png)
KOMBE LA FA KUENDELEA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-inRf95GZ2DA/VnlCXlAIb7I/AAAAAAAIN4s/24yyW6BiG-I/s640/facup.png)
Kesho Jumatano kutakua na michezo miwili, Kariakoo ya Lindi watawakaribisha Mshikamano FC katika uwanja wa Ilulu – Lindi, Disemba 24 Njombe Mji watakua wenyeji wa Green Warriors katika uwanja wa Sabasaba mjini Njombe, na Pamba FC watacheza dhidi ya Alliance uwanja wa CCM Kirumba.
Ijumaa...
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Michuano ya Uefa kuendelea leo
LONDON, ENGLAND
MICHEZO ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea leo katika viwanja mbalimbali, ambapo michezo nane itapigwa.
Katika kundi E, Barcelona watakuwa kwenye Uwanja wa nyumbani Camp Nou na kuwakaribisha wapinzani wao, Bayern Leverkusen, kutoka nchini Ujerumani, mchezo ambao unaonekana kuwa na mvuto wa aina yake.
Katika mchezo wa kwanza wa michuano hii Barcelona ilikutana na AS Roma na matokeo yakawa 1-1, hata hivyo, katika mchezo wa leo Barcelona...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Kesi ya Ekelege kuendelea leo
11 years ago
Habarileo12 May
Mkutano wa Bunge kuendelea leo
MKUTANO wa 15 wa Bunge la Bajeti, unaingia wiki ya pili ya vikao vyake, ambavyo wizara zinawasilisha bajeti zake huku leo Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira zikiwasilisha bajeti zake.
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Uefa:ligi kuendelea leo
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Bomoabomoa kuendelea leo Dar
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kazi ya ubomoaji nyumba zilizoko katika Bonde la Mto Msimbazi itaendelea leo katika maeneo ambayo hayako kwenye zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventure Baya, alisema zuio lililopo mahakamani linahusu nyumba 681 tu, hivyo wataendelea na kazi katika maeneo yote...
10 years ago
Habarileo10 Nov
Bunge kuendelea kukutana leo
MKUTANO wa 16 na 17 wa Bunge, unaendelea leo ambao pamoja na mambo mengine, Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu fedha za akaunti ya Escrow, zinatarajiwa kukabidhiwa.