Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FA haruhusiwa na COSOTA kufanya ‘sampling’ wimbo uliotoka mwaka 1717

FA

Rapa Mwana FA amesema ameruhusiwa na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) kufanya ‘sampling’ wimbo wa msanii wa zamani uliotoka 1717, baada ya kuambiwa wimbo ukishazidi miaka 50 toka utoke unaruhusiwa kusumple kisheria.
FA

Akizungumza na 255 ndani ya kipindi cha XXL ya Clouds Fm, FA alisema alikwenda COSOTA ili kutaka kulipia kazi hiyo ili awe huru kukitumia katika kazi yake.

“Sikutaka kumwibia mtu, so nikaipeleka pale nikamwambia hii ngoma nimesumple nataka kuilipia kwa sababu COSOTA...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Video Snippet: Nicki Minaj aonjesha kipande cha video ya wimbo wake mpya ‘Anaconda’ uliotoka rasmi leo

Nicki Minaj ameachia rasmi single yake mpya ‘Anaconda’ leo (August 4) kwenye Itunes, bada ya kuvuja mtandaoni weekend iliyopita. Kupitia Instagram Minaj (31) pia ameshare kipande kidogo cha video ya wimbo huo ambayo imefanyika Jumamosi iliyopita huko Los Angeles, Marekani. “Check out the WORLD PREMIERE video snippet of Anaconda. Now on iTunes!!! #AnacondaOniTunes Official Mastered […]

 

9 years ago

Bongo5

COSOTA yataja kiasi atakacholipwa msanii kwa kila wimbo au video itakayochezwa kwenye Redio au TV

majani

Miongoni mwa maswali mengi ambayo yanaendelea kuulizwa kuhusiana na utaratibu mpya wa vyombo vya habari kuanza kuwalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao kuanzia mwakani, ni pamoja na kiasi gani msanii atakuwa analipwa.

majani

Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), Doreen Sinare alisema kuwa wanamuziki, watunzi na maproducer watalipwa asilimia 60 kwa kila wimbo au video itakayochezwa katika redio na televisheni yoyote ndani na nje ya nchi kwa kutumia vifaa bora vilivyowekwa na...

 

11 years ago

Bongo5

Roma atimiza ahadi ya kufanya wimbo Sharobaro Rec, wimbo unaitwa ‘Maumivu’

Hitmaker wa Mathematics Roma Mkatoliki ametmiza ahadi yake ya kwenda kufanya wimbo katika studio za Sharobaro Records chini ya producer Bob Junior aliyoweka wakati wa kombe la dunia kama Brazil ingefungwa na Ujerumani. Katika studio hiyo, Roma amerekodi wimbo uitwao ‘Maumivu’. Roma na producer Bob Junior wakiwa studio Akizungumza na Bongo5 leo, Bob Junior amesema […]

 

10 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah: Wimbo nitakaofungia mwaka ndio wimbo wangu wa kwanza mtu akisikiliza analia

Kala Jeremiah amesema anatarajia kuachia wimbo mpya wa kufungia mwaka kabla mwezi huu haujaisha. “Mwezi wa 11 hautaisha Kala Jeremiah atadrop kitu ambacho naamini kabisa kila Mtanzania kitamgusa..kwa namna moja au nyingine kila mmoja unamhusu huu wimbo kwahiyo sitaki sana akuongelea sasa hivi “ Amesema Kala kupitia Power Jams ya EA Radio. Akiuzungumzia wimbo huo, […]

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz

Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea mabadiliko. “Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia vilevile, na wewe sio […]

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West kufanya wimbo wa pamoja na mkewe Kim Kardashian?

Rapper Kanye West pamoja na mke wake Kim Kardashian ambaye kwa pamoja wanatarajia kupata mtoto wao wa pili, wanadaiwa kuwa na mpango wa kuingia studio kufanya collabo! Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Sun kuwa Kim ameamua kuanza kujifunza kupiga piano kama sehemu ya maandalizi ya collabo hiyo, na kuwa Kanye ana mpango wa kuachia […]

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndio sababu ya Christian Bella kusita kufanya wimbo na Diamond

Christian Bella amesema anashindwa kumwambia Diamond waingie studio na kufanya kolabo kutokana na hofu kuwa huenda muimbaji huyo asipokee vizuri ombi hilo. Bella ambaye alikuwa nyumbani kwa Diamond weekend iliyopita wakati wa 40 ya Tiffah, ameiambia Bongo5 kuwa yeye pamoja na mashabiki wake wanatamani kuona kazi yao ya pamoja. “Wasanii sisi labda nataka niimbe na […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Akothee (Kenya) apanga kufanya remix na Black Coffee na kurekodi wimbo na Mafikizolo

Msanii wa Kenya, Akothee yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kwa shughuli binafsi, biashara na muziki. Akothee akiwa kwenye mkutano na Mkurugenzi wa Black Mango Studio ambaye ni meneja wake wa Afrika Kusini Msanii huyo aliyekuja Tanzania mwezi uliopita, yupo kwenye mazungumzo na DJ maarufu wa Afrika Kusini, Black Coffee kufanya naye remix ya wimbo wake […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani