Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAIDA 6 ZA KUOLEWA NA MUME ALIYEKUZIDI UMRI!

Mara nyingi wapo ambao hujikuta njia panda baada ya kudondoka kimapenzi kwa watu ambao wamewazidi umri au kinyume chake. Naamini wengi wamekuwa wakikumbana na mazingira haya na kuhisi itakuwa ni tatizo kwa msichana mwenye miaka 24 kuolewa na mwanaume mwenye miaka 40 na zaidi. Au unaweza kukuta mwanaume mwenye miaka 25 katokea kumpenda mwanamke mwenye miaka 30 lakini anaona kuingia naye kwenye ndoa ni shida. Kabla sijaenda mbele...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16




Harusi uhispania
Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.Hadi sasa wasichana nchini humo wangeruhusiwa kuolewa wakiwa na miaka kumi na nne bora tu wapate ruhusa ya jaji.
Sheria hiyo mpya sasa inanuiwa kupunguza visa vya udhalilishaji wa watoto nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16

Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.

 

10 years ago

KwanzaJamii

GRACA MACHEL: UMRI WA KUOLEWA MIAKA 18

Watanzania wameaswa kukitumia kipindi hiki cha kuundwa kwa Katiba mpya kuwa na kifungu kwenye katiba kinachoeleza umri wa ndoa kuwa miaka 18 na kuendelea, ili kuondoa tatizo la ndoa za utotoni. Wito huo ulitolewa jana jijini Dar es Salaam na mwanzilishi wa mfuko wa Graca Machel Trust, Grace Machel, alipokuwa akizundua kampeni ya kitaifa dhidi ya ndoa za utotoni inayoanzia katika wilaya ya Tarime mkoa wa Mara. Machel ambaye ni mjane marais wa kwanza wa Msumbiji na Afrika Kusini, Samora...

 

10 years ago

Bongo Movies

FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.

Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.

Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...

 

10 years ago

Vijimambo

Zari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!

WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia. Chanzo makini kimeliambia Ijumaa Wikienda kwamba, licha ya mama Diamond kupelekwa India Januari 27, mwaka huu na msafara wa watu wawili, nyuma, Zari alitua Bongo tangu Januari 30, mwaka huu lengo kubwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Lata Kare: Ajuza mwenye umri wa miaka 68 anayekimbia bila viatu kuokoa maisha ya mume wake

Lata Kare ni ajuza mwenye umri wa miaka 68. Kwa kipindi cha miaka mitatu iliopita amekimbia na kushinda mbio za marathon za kilomita 3 katika eneo la Maharashatra, magharibi mwa I

 

11 years ago

Mwananchi

Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha

Nafurahi kuona kwamba hujang’ang’ania hoja ya uzee hata siku moja licha ya mvi zako. Wala sijakusikia ukitamba eti wewe una akili au busara zaidi eti kwa kuwa ni mzee. Sifa sana kwako.

 

10 years ago

GPL

BATULI KUOLEWA SOON

Stori: Gladness Mallya
GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu, Risasi Jumamosi linakujuza. Msanii wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Batuli ambaye ni mama wa watoto wawili, ameliambia Risasi Jumamosi kuwa kwa umri alionao, amejifunza vitu vingi katika maisha hivyo kwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani