Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16
Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo16 Jul
Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/06/13/150613175620_sp_swedish_royal_wedding_640x360_afp_nocredit.jpg)
Harusi uhispania
Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.Hadi sasa wasichana nchini humo wangeruhusiwa kuolewa wakiwa na miaka kumi na nne bora tu wapate ruhusa ya jaji.
Sheria hiyo mpya sasa inanuiwa kupunguza visa vya udhalilishaji wa watoto nchini humo.
10 years ago
KwanzaJamii27 Aug
GRACA MACHEL: UMRI WA KUOLEWA MIAKA 18
Watanzania wameaswa kukitumia kipindi hiki cha kuundwa kwa Katiba mpya kuwa na kifungu kwenye katiba kinachoeleza umri wa ndoa kuwa miaka 18 na kuendelea, ili kuondoa tatizo la ndoa za utotoni.
Wito huo ulitolewa jana jijini Dar es Salaam na mwanzilishi wa mfuko wa Graca Machel Trust, Grace Machel, alipokuwa akizundua kampeni ya kitaifa dhidi ya ndoa za utotoni inayoanzia katika wilaya ya Tarime mkoa wa Mara.
Machel ambaye ni mjane marais wa kwanza wa Msumbiji na Afrika Kusini, Samora...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWRJGDE9DaFArBZuKmVGTji9HvL*5ETIud7Qze1DX2P8S35SR3pBZAVlSF9c0USoDiFICxwGwb8fug3EHsDlyUkD/MUME.jpg?width=650)
FAIDA 6 ZA KUOLEWA NA MUME ALIYEKUZIDI UMRI!
Mara nyingi wapo ambao hujikuta njia panda baada ya kudondoka kimapenzi kwa watu ambao wamewazidi umri au kinyume chake. Naamini wengi wamekuwa wakikumbana na mazingira haya na kuhisi itakuwa ni tatizo kwa msichana mwenye miaka 24 kuolewa na mwanaume mwenye miaka 40 na zaidi. Au unaweza kukuta mwanaume mwenye miaka 25 katokea kumpenda mwanamke mwenye miaka 30 lakini anaona kuingia naye kwenye ndoa ni shida. Kabla sijaenda mbele...
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
Ndoa Uhispania sasa mpaka miaka 16
Serikali ya Uhispania imetangaza kuwa kuanzia leo Alhamisi raia wa chi hiyo watakubaliwa kufunga ndoa kisheria watakapotimiza umri wa miaka 16 badala ya miaka 14 ilivyokuwa awali
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ILvs5R2vL9M/VM8eP9PblWI/AAAAAAAAF74/tvwGxlq3-Fw/s72-c/diamond%2Bplatnumz%2Bna%2Bzarir.jpg)
Zari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!
![](http://4.bp.blogspot.com/-ILvs5R2vL9M/VM8eP9PblWI/AAAAAAAAF74/tvwGxlq3-Fw/s640/diamond%2Bplatnumz%2Bna%2Bzarir.jpg)
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Umri ni miaka 26 lakini umbile ni miaka 10
Kutana na Hyomyung Shin,raia wa Korea anayeugua ugonjwa nadra wa 'Highlander Syndrome' unaomzuia kuzeeka !
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Bibi harusi wa miaka 14 amuua mumewe kwa sumu kupinga kuolewa
Bi harusi wa miaka 14 nchini Nigeria ameshtakiwa kwa kuwaua watu wanne akiwemo mumewe wa miaka 35 baada ya kuweka sumu ya panya katika chakula alichoandaa kwa sherehe za harusi yake.
10 years ago
BBCSwahili22 May
Dj mwenye umri wa miaka 3
Wachezaji densi Afrika Kusini walipigwa na butwaa walipogundua DJ aliyekuwa akiporomosha densi alikuwa mtoto wa miaka 3
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mugabe atimiza umri wa miaka 90
Rais mkongwe wa Zimbabwe, Robert Mugabe ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu mwaka 1980, ametimiza miaka 90.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania