Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAIDA YA URAIA PACHA - DUGU MOJA, LAKINI NCHI TAFAUTI INAWEZEKANA KABISA.....

Jerome (26) na Kevin-Prince Boateng (27)  ni ndugu wa baba mmoja kutoka Ghana na mama mbalimbali (Wajerumani) ambao wameweka historia ingine usiku huu kwa kucheza Kombe la Dunia pamoja lakini katika timu za nchi mbili tofauti. Jerome anachezea Ujerumani wakati nduguye Kevin-Prince anachezea Ghana, japo wote wamezaliwa Berlin, Ujerumani.  Usiku wa leo ndugu hawa wanaweka historia ya kucheza uwanja mmoja katika  timu tofauti wakati Ujerumani inacheza na Ghana. Mara ya kwanza walikutana kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MSIKILIZE MBUNGE WA KILWA MHE. MUTAZA MANGUNGU AKICHAMBUA FAIDA ZA URAIA PACHA

Mhe. Mutaza Mangungu mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya CCM akiongea na Vijimambo mchana wa Jumamtatu March 17, 2014 kutoka Dodoma na kuelezea faida ya Uraia pacha. Msikilize hapo chini

 

11 years ago

GPL

MSIKILIZE MBUNGE WA KILWA MHE. MUTAZA MANGUNGU AKICHAMBUA FAIDA ZA URAIA PACHA‏

Mhe. Mutaza Mangungu mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya CCM akiongea na Vijimambo mchana wa leo Jumamtatu March 17, 2014 kutoka Dodoma na kuelezea faida ya Uraia pacha Msikilize hapo chini.  

 

9 years ago

Bongo5

Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee — Ray C

Sio mara ya kwanza kwa Rehema Chalamila a.k.a Ray C kulalamika kuhusu kunyimwa dawa ya Methadone ambayo amekuwa akiitumia ili kumsaidia kuondokana na addiction ya dawa za kulevya, lakini safari hii ametumia ukurasa wake wa Instagram kulalamika kuwa ameonewa tena japo hakuweka wazi alichofanyiwa. Ray C alianza kupost picha akiwa kwenye gari na kuadika; “NIKIWA […]

 

10 years ago

Mtanzania

Uraia pacha wakataliwa

Bunge

Bunge

Na mwandishi Wetu

RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.

Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.

“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...

 

10 years ago

Habarileo

Uraia pacha wabezwa

SUALA la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uraia pacha waota mbawa

MATUMAINI ya Watanzania waishio nje ya nchi kupata uraia pacha yameota mbawa baada ya serikali kuweka bayana kuna athari kubwa za kiusalama. Licha ya sababu hiyo ya serikali kutotaka liwemo...

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha

Ankal,  mosi naomba nichukue wasaa huu kukushukuru kwa kazi nzuri ya kutuhabaraisha wana ughaibuni. Unatufikishia habari za nyumbani zinazotufariji tulio mbali na nyumbani. Ankal kabla kuendelea zaidi, napenda niseme machache ya moyoni kutokana na mada nzito ya juzi kutoka kwa kijana wetu mahiri john ,mashaka
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...

 

10 years ago

Habarileo

Uraia pacha pasua kichwa

SUALA la uraia wa nchi mbili, linaonekana kupasua vichwa vya wanakamati hasa wanaotoka Zanzibar, kutokana na historia ya nchi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kizungumkuti cha uraia pacha

Rais Jakaya Kikwete amewakosoa Watanzania wanaoishi ughaibuni kwa kile alichoeleza kuwa wameshindwa kujenga hoja ya kuwashawishi Watanzania wenzao kuhusu umuhimu wa kuwa na uraia pacha katika Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani