Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAIZA ASAKA WA KUMPA PENZI

Imelda Mtema
Mrembo asiyeishiwa na vituko, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ ametoa kali baada ya kusema kuwa ana hamu ya kumpata mwanaume mwingine wa kumpa raha lakini mpaka sasa hajapata. Mrembo asiyeishiwa na vituko, Faiza Ally. Akizungumza na Ijumaa juzikati, Faiza alisema tangu alipoachana na Mheshimiwa Sugu, aliona bora ajitulize lakini sasa anajiona kuna kitu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu ameachana na aliyekuwa mchumbake Faiza Ally. Wawili hao wana mtoto wa kike. Faiza amethibitisha kuachana na Sugu kwenye Instagram kwa kushare pia ya pamoja. “Mtoto wangu wa Faiza na Joseph ana fikisha miaka 2 kesho , nimeangalia kumbu kumbu zangu na baba yake toka mimba yake mpaka […]

 

10 years ago

Habarileo

Kerr asaka mshambuliaji

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr anasaka mshambuliaji kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake. Simba ipo kwenye mchakato wa kufanya usajili kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuanza Septemba 22 mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Minziro asaka sita

Baada ya kuichakaza Mtibwa Sugar na kuvuna pointi tatu, kocha wa JKT Ruvu, Fred Minziro amesema sasa anaielekeza akili yake katika kuhakikisha anashinda mechi mbili kati ya tano zilizosalia ili kubakia Ligi Kuu.

 

11 years ago

GPL

MAINDA ASAKA MUME

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kwa sasa hahitaji mchumba wala mpenzi, anahitaji mume wa kumuweka ndani. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema hata akifuatwa na mtu mwenye fedha nyingi kutaka uhusiano naye, hawezi kumkubalia kwani anachotaka sasa hivi ni ndoa tu. “Kwa sasa mpenzi wangu ni Yesu na kutokana na yeye mume wangu nimeshamuona kwenye maono…yulee...

 

10 years ago

GPL

ISABELA ASAKA GAUNI LA HARUSI

Stori: Gladness Mallya
MMH! Katika hali ya kushangaza na kuonyesha kwamba ana hamu ya ndoa, msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda hivi karibuni alinaswa akitafuta gauni la harusi wakati hata vikao havijaanza. Msanii wa filamu na muziki, Isabela Mpanda. Kikizungumza chanzo makini kilisema mwanadada huyo alikuwa maeneo ya Makumbusho jijini Dar akipita kwenye maduka mbalimbali akitafuta gauni la harusi wakati hata...

 

11 years ago

Mwananchi

Madadi asaka heshima Namibia

>Kocha wa muda wa timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars), Salum Madadi leo atakuwa na kazi moja ya kuhakikisha kikosi chake kinapata ushindi dhidi ya Namibia kwenye wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika jijini Windhoek.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli asaka kura Dar

Pg 1 magufuli – Kutumia siku tatu ndani ya majimbo 9

NA BAKARI KIMWANGA, GEITA

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, leo ataanza mikutano ya kampeni jijini Dar es Salaam.
Dk. Magufuli atawasili jijini humo baada ya kukamilisha mikutano ya kampeni ya kuomba kuchaguliwa katika nafasi hiyo kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Akiwa jijini Dar es Salaam, atafanya mikutano katika majimbo yote ambayo alikuwa hajahutubia, huku akiwanadi
wagombea ubunge wa majimbo hayo.

Kwa mujibu wa ratiba...

 

11 years ago

Habarileo

Babu wa miaka 97 asaka mtoto

 Mathias KisokotaBABU aliyefunga ndoa mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 94, Mathias Kisokota mkazi wa Kitongoji cha Isunta, Namanyere wilayani Nkasi ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 97, amehamia na mkewe katika Mji wa Mpulungu mwambao wa Ziwa Tanganyika nchi jirani ya Zambia miezi sita iliyopita kwa lengo la kufanya tambiko la kumwezesha mkewe mwenye umri wa miaka 83 kupata mtoto wa uzeeni.

 

10 years ago

Habarileo

Mangula ‘asaka’ wasaliti CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCMMAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula amemaliza ziara yake katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, na kuagiza kila mwanachama awe mlinzi wa mwenzake, amchunguze ili kuepuka wasaliti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani