FAMILIA YA KIMBAU YAOMBOLEZA MSIBA WA ABDULKARIM SHAH BUJJI

Familia ya aliyekuwa mbunge wa Mafia marehemu Kanali mstaafu Ayoub Kimbau tumepokea msiba wa ndugu yetu kaka yetu jamaa yetu mbunge mstaafu wa Mafia Ndg. Abdulkarim IH Shah (Bujji) kwa mshtuko na masikitiko Makubwa sana...Marehemu Shah (Bujji) pamoja na tofauti zetu za kisiasa baina yake na familia yetu hususan katika wakati wote wa zile kampeni za kisiasa, bado alikuwa ni mtu mwenye upendo nidhamu utu heshima na uungwana wa hali ya juu hasa kwa wazazi wetu na sisi watoto.Buji alikuwa kaka,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog20 Jun
Ujumbe wa TTB, TANAPA ukiongozwa na Mhe. Abdulkarim Shah wakaribishwa Chakula cha jioni ubalozi wa Tanzania Washington, DC
Mhe. Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafya kwa tiketi ya CCM akiongozana na ujumbe wake wa Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks (TANAPA) walipowasili Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, DC kwenye chakula cha jioni walipokaribishwa Ubalozini hapo siku ya Alhamisi June 19, 2014
. Wengine waliokaribishwa ni Jumuiya ya Watanzania DMV, Kamati ya maandalizi ya sherehe ya Vijimambo, Katibu wa Jumuiya New York alikuwepo lakini chini ya kivuli cha Miss Tanzania USA...
10 years ago
Michuzi
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma yaomboleza msiba wa marehemu Celina Kombani

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepata msiba wa kuondokewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (Mb) aliyefariki tarehe 24 Septemba, 2015 katika Hospitali ya Apollo nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.

10 years ago
Michuzi
TANGAZO LA MSIBA KUTOKA FAMILIA YA NDG SEBASTIAN MGIMBA WA DAR ES SALAAM - TANZANIA

2Timotheo 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza Imani nimeilinda.
Familia ya Ndugu Sebastian Mgimba inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Mathew Sebastian Mgimba kilichotokea Nchini Malaysia tarehe 20/11/2014.
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili leo tarehe 25/11/2014 na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Sinza Kumekucha.Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi - Amina
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete Amfariji Salva Rweyemamu na familia kwa msiba wa Private Brian


11 years ago
GPL
JK AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMFARIJI SALVA RWEYEMAMU NA FAMILIA YAKE KWA MSIBA WA PRIVATE BRIAN
11 years ago
Mwananchi18 Sep
Shah: Mizengwe inarudisha nyuma biashara sekta ya ujenzi
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Kimbau atua rasmi Ukawa
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omari Kimbau, ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).
Akizungumza Dar es Salaam jana, Kimbau alisema ameamua kujiunga na CUF baada ya kuchoshwa na ubakaji wa demokrasia ndani ya CCM.
Kimbau ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Mafia, Kanali Shomari Kimbau, alisema haki ya wananchi wa Mafia imetekwa na watu wachache wenye fedha.
“Mimi na familia yangu, rafiki zangu tumeamua...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA KIMBAU MAFIA
10 years ago
Michuzi30 Aug
TANZIA: Mzee Col. Ayubu Kimbau passing away - RIP