Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fedha za Madola ‘zatafunwa’

Licha ya Kampuni ya Said Salim Bakhresa kutoa msaada wa dola 93,000 (Sh 153.9 milioni) kwa ajili ya kusaidia timu za Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola, imebainika kuwa fedha hizo zimetumika kinyume na malengo hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FEDHA ZA LOWASSA ZATAFUNWA

Na Makongoro Oging’ WANACHAMA wa kundi la Marafiki wa Edward Lowassa waliochanga fedha za kumwezesha waziri mkuu huyo wa zamani kuchukua fomu ya kugombea urais, wamemtuhumu aliyekuwa naibu katibu wao, George Kivuyo  (pichani) kutafuna fedha hizo. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1VKumU6

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam yaimwagia fedha timu ya Madola

KAMPUNI ya Azam jana ilitoa kiasi cha dola 93,000 za Marekani kwa timu ya taifa inayokwenda Glasgow, Scotland kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola. Fedha hizo zilizokabidhiwa jana kwa Naibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Sh13 bil ‘zatafunwa’ kijanja Rita, GEPF

Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma(PPRA) imebaini ufisafi wa Sh13.48 bilioni katika miradi miwili ya ujenzi wa majengo ya Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi(GEPF) na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) baada ya kufanya ukaguzi katika majengo hayo.

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MIKUTANO YA WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA NA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA WASHINGTON, DC

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa CITI na Mkuu wa Afrika kwa kundi la sekta ya utumishiwa umma Bw. Peter M. Sullivan alipo mtembelea Mhe.Waziri kwa madhumuni ya kuisadia nchi ya Tanzania katika ubalozi wa Marekani mjini Washington DC.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania walipokutana na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly walipokuwa wakijadiliana na...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli Njuweni Kibaha. Bi.Ingiahedi alisema kuwa Serikali ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya matumizi ya fedha katika ngazi zote.  Mradi huu umekuwa wa awamu 4 kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Fedha, IMF na WB wazungumzia sera fedha

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ambaye ni  kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na Gavana wa Benki Kuu  Prof. Benno Ndulu  ambaye pia ni Gavana katika mikutano hii.Katika picha viongozi hao wakiwa wanafanya majumuisho ya majadiliano ya awali na kukubaliana cha kufanya kwa pamoja na viongozi kutoka IMF na WB kuhusiana na hali ya uchumi kwa maana ya sera za fedha na sera za mapato...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MHE. OMAR YUSSUF MZEE AWASILISHA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Waziri wa Fedha akiinua Begi lenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati akiingia katika ukumbi wa mkutano kuwasilisha Hutuba ya Bajeti jana jioni katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Chukwani.Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akishindikizwa na Askari wa Baraza kuingia katika ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kusoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar jana jioni.Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Bajeti ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wizara ya Fedha yaimarisha mifumo ya fedha

WIZARA ya Fedha imesema itafanya marekebisho mbalimbali katika bajeti ijayo ya 2014/2015, ikiwa ni pamoja na kuimarisha mifumo ya fedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani