FEDHA ZA LOWASSA ZATAFUNWA
![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0LqNuKq5T1UOTtchbYv8ojv5Vz*08q4s9J4tL7C2-tJTsYx8uhtPyVwXSRopUH9SV3LoDjS0G5BgVa7eX72T3Ig/Lowassa.gif?width=650)
Na Makongoro Oging’ WANACHAMA wa kundi la Marafiki wa Edward Lowassa waliochanga fedha za kumwezesha waziri mkuu huyo wa zamani kuchukua fomu ya kugombea urais, wamemtuhumu aliyekuwa naibu katibu wao, George Kivuyo (pichani) kutafuna fedha hizo. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1VKumU6
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Fedha za Madola ‘zatafunwa’
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Sh13 bil ‘zatafunwa’ kijanja Rita, GEPF
10 years ago
Raia Mwema08 Jul
Tofauti ya Lowassa dhidi ya wengine ni fedha
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kipo njia panda.
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Babu Tale: Diamond hajapokea fedha za Lowassa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.
Alisema hata hivyo...
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Sina haja ya kutumia fedha kumnadi mtu — Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa Zamani Edward Lowassa, amekanusha taarifa zilizochapishwa na gazeti moja la kila wiki iliyosema “Lowassa apanga safu”, akisema hana haja ya kufanya hivyo wala kutumia fedha kumnadi mgombea yeyote.
Taarifa iliyotolewa ofisi yaje jana, ilisema habari hiyo ilijengwa na taswira ya uongo kwamba kuna mpango wa kupanga nani atagombea ubunge katika Jimbo la Monduli baada ya Lowassa kumaliza muda wake.
“Taarifa hiyo potofu ilikuwa na lengo la kumshushia...
10 years ago
Mwananchi03 May
Lowassa, Membe, Pinda waonyeshana jeuri ya fedha Z’bar
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Lowassa achangiwa fedha za kuchukua fomu na Wana CCM mkoa wa Tabora
![](http://2.bp.blogspot.com/-a0GUCWr_POg/VXAZojFBHEI/AAAAAAAAUcw/gHNljl9h6R4/s640/Lowassa_Mchango.jpg)
Mzee wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala Kasubi, (kulia) akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, zaidi ya shilingi milioni moja, zilizochangwa na wanachama wa CCM mkoani Tabora, ili kumuwezesha mtangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwani urais kupitia chama hicho.
Hafla ya kukabidhi fedha hizo ilifanyika nyumbani kwa Mtangaza nia huyo, mjini Dodoma...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CxObUP2s7es/VXBUQ-bPA1I/AAAAAAAHb7c/vLW9V5eKU9E/s72-c/Lowassa_Yusuf%2BBundala%2BKasubi2.jpg)
wanaCCM mkoani Tabora wamchangia mh. Lowassa fedha za kuchukulia fomu ya kuwania Urais
![](http://2.bp.blogspot.com/-CxObUP2s7es/VXBUQ-bPA1I/AAAAAAAHb7c/vLW9V5eKU9E/s640/Lowassa_Yusuf%2BBundala%2BKasubi2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-D7v_599zWHA/VXBUSbBqsYI/AAAAAAAHb7w/hJe2CSG_bgU/s640/Majaliwa%2BBilali.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Serikali ya wanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM-SO) yakanusha kumpigia debe Lowassa
Rais wa Serikali ya Wanafunzi IFM-SO, Clinton Boniface.
Serikali ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFMSO), kupitia msemaji wake mkuu ambaye ni Rais wa Serikali ya wanafunzi, ndugu Clinton Boniface inakanusha taarifa zilizotolewa na gazeti la NIPASHE toleo namba 0578395 la tarehe 19/02/2015, lenye kichwa cha habari “WANAFUNZI WA IFM WAMTAKA LOWASA URAIS” na kwamba habari hizo hazijatolewa na uongozi wa IFMSO, wala hakuna mkutano wowote uliofanyika katika eneo la chuo cha usimamizi...