FID Q NA MAURICE NDANI YA COKE STUDIO LEO
Msanii nguli wa muziki wa Bongo Fleva Fid-Q akikamua. Baada ya wasanii nguli wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba kutoka Tanzania na Victoria Kimani kutoka Kenya wiki iliyopita kumwaga raha ya burudani kupitia onyesho la muziki la Coke studio linalorushwa na luninga ya Clouds kila siku ya Jumamosi. Leo nyota wengine wa muziki huo Fid Q kutoka Tanzania na Maurice Kirya kutoka nchini Uganda watawasha moto. Wasanii hawa wawili ambao...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-y4tAT5y9QGo/VjOFXN40vHI/AAAAAAAIDgo/xXn7yRKLbEo/s72-c/unnamed.jpg)
Fid Q na Maurice ndani ya Coke Studio leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-y4tAT5y9QGo/VjOFXN40vHI/AAAAAAAIDgo/xXn7yRKLbEo/s640/unnamed.jpg)
Wasanii hawa wawili ambao wanatamba kwa muziki wa Bongo Fleva katika ukanda huu wa Afrika Mashariki wamefanya Kolabo matata (Mash-up) katika...
9 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-n4fcygkpk0k/VkDWZu8R0bI/AAAAAAAAD30/fk3DaBgdOSk/s72-c/maxresdefault.jpg)
COKE STUDIO AFRICA MASH UP: FID Q & MAURICE KIRYA - BENDERA YA CHUMA/BLUE DRESS
![](http://4.bp.blogspot.com/-n4fcygkpk0k/VkDWZu8R0bI/AAAAAAAAD30/fk3DaBgdOSk/s640/maxresdefault.jpg)
Fid Q (Tanzania) and Maurice Kirya (Uganda) meet Coke Studio Africa's DJ Space for another Hip Hop Mash Up. Bendera ya Chuma by Fid Q was inspired by the film "Mandela" who preached about forgiveness upon his release, and Maurice Kirya's Blue Dress talks about this lady who is married but is not happy with her life.
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who...
9 years ago
Africanjam.ComCOKE STUDIO MASH UP: NEYO, ALI KIBA, DAMA, ICE PRINCE, MAURICE KIRYA & WANGECHI - REASON
Published on Dec 6, 2015Coke Studio Africa welcomes R&B Superstar NE-YO who works with Wangechi (Kenya), Alikiba (Tanzania), Maurice Kirya (Uganda), Dama Do Bling (Mozambique) and Ice Prince (Nigeria) on a special Coke Studio Africa song. The five select stars have already recorded mash-ups that have rocked this season.
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela...
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Ben Pol, Kiba, Vanessa Mdee, Fid Q kuwasha moto Coke Studio Africa
NA MWANDISHI WETU
WASANII nguli wa muziki nchini, Ben Pol, Ali Kiba, Fid Q na Vanessa Mdee, wataungana na wasanii wengine 27 barani Afrika katika msimu wa tatu wa maonyesho ya burudani ya muziki, maarufu kama Coke Studio Africa litakaloanza mapema wiki ijayo.
Onyesho la mwaka huu ni tofauti na yaliyopita kwa kuwa litaendana na mabadiliko yaliyopo katika muziki duniani ‘Kolabo’.
Kolabo ya wasanii 55 itashirikisha wasanii wawili kutoka nchi mbili tofauti kuimba nyimbo mbili za mitindo...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-fSwLO0jlpak/Vg28TFxOGvI/AAAAAAAD_Nc/RoSAHApw5po/s72-c/ALI%2BKIBA%2B-%2BVICTORIA%2BCoke%2BStudio%2B2015-Emailer%2B9%2BDays-01.jpg)
10 years ago
Vijimambo30 Oct
10 years ago
TheCitizen15 May
Coke Studio Africa season three is on
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Coke studio yaleta burudani nchini
Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri.
-Mamia waburudika Coke Party mikoa ya Dar, Mwanza, Mbeya na Arusha
Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wan je limeanza kurushwa nchini Jumamosi nchini kupitia luninga ya Clouds ikiwajumuisha wanamuziki Ally Kiba,Vanessa Mdee, Ben Pol na Fid Q ambao wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na 2Face.
Baada ya uzinduzi...
9 years ago
MichuziSHANGWE YA COKE STUDIO YAENDELEA MASHULENI
- Mwanza,Dar,Mbeya na Arusha waonyesha vipaji vyao vya kuimba Msimu wa Coke studio mwaka huu ambao...