Fid Q: Ningekosa tuzo nisingeshiriki tena
MKALI wa muziki wa hip hop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’, amesema tuzo za mwaka huu za Kili zilikuwa za mwisho kushiriki endapo waandaaji wasingetambua mchango wake tangu mwaka 2004....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
FID Q Kinara wa tuzo ya maendeleo ya Umoja wa Ulaya
Mwanamuziki nguli wa Hip Hop, nchini kutoka Mwanza, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ (kulia) akipozi na Balozi wa Umoja wa Ulaya pamoja na baadhi ya washindi wenzake wakati wa hafla hiyo.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii mwanamuziki nguli wa Hip Hop, nchini kutoka Mwanza, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ Amepongeza kwa kutunukiwa tuzo ya maendeleo 2015 inayotolewa na Umoja wa Nchi za Ulaya .
Fid Q alieleza kuwa, kutunukiwa huko ni baada ya mchango wake kuonekana ikiwemo ...
10 years ago
Bongo518 Mar
Ifahamu tuzo ya Umoja wa Ulaya aliyopewa Fid Q
10 years ago
CloudsFM18 Mar
Rapper Fid Q apewa tuzo ya `CHAMPION na umoja wa Nchi za Ulaya EU
![](http://api.ning.com/files/afJNJUtdOc5RfIyS9vraTNg9XAGpZDGL12DYG2gYHQ3-oMt6bFwhifmKz6laKD*uERc2DO-nb4PBWV8VUY161nttMXNMWbNx/FidQ2.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfhcH8QW9PuHfdPNJ8FEHF7dRIYgmcDuaNVLat1ze5B2T*XJQEMOein-RGPCkgdaN3YAeKM95jNCWvUUoAxQk5ou/farid.jpg?width=650)
FID Q: PROFESA WA HIP HOP ALIYEKUMBUKWA KWA TUZO ZA KILI
10 years ago
Bongo518 Mar
Fid Q apewa tuzo na umoja wa nchi za ulaya EU, ‘CHAMPION of the 2015 European year for development in Tanzania’
11 years ago
GPLFID Q NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA KILI NA MUZIKI WA HIP HOP
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVoMyqg6si-ArrR4QLPkxPYgcJw7W1linEA*jBI3pp5o6IiJ5T9JmzcNOaBOdq7Jk8dKfUmF2SpHbd4PgRRwEoRG/sitta.jpg?width=650)
SAMUEL SITTA, NISINGESHIRIKI KARAMU YA WENYE DHAMBI
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Diamond atajwa tena tuzo 3
Diamond Platnumz
MWAKA ameufungua vizuri staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya kutajwa kuwania tuzo tatu za Trends Loaded Music, Too Exclusive pamoja na Hipipo Music.
Katika Tuzo za Hipipo Music ambazo hutolewa nchini Uganda na Nigeria, Diamond amefanikiwa kuingia katika vipengele vitatu ambavyo ni East African Super Hit, East african Best Video pamoja na Best African Artist of the Year.
Kwa upande wa Tuzo za Xclusive Music, Diamond ameingia katika kipengele kimoja cha...